Col Miraji
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 546
- 512
Na hawa ndio wachambuzi wa gazeti la mwananchi, Aibu TupuKajamaa kanafiki sana aka....ukiwa mjuaji kupika kiasi siku moja unaumbuka kama hiviii
Mchunguzi ameshachanganyikiwa huyoBAK, nguruvi, mchunguzi,.........
Kama ni mchambuzi wa Mwananchi Basi hilo gazeti linasadifu tabia za wachambuzi wake. Maana nalo limekuwa la udaku sanaNa hawa ndio wachambuzi wa gazeti la mwananchi, Aibu Tupu
Ukinunua Mwananchi utawakuta Mtatiro, Luqman Maloto, Malisa upuuzi mtupu wanaandikaKama ni mchambuzi wa Mwananchi Basi hilo gazeti linasadifu tabia za wachambuzi wake. Maana nalo limekuwa la udaku sana
Vitakuja kusema haya maandiko yamegeuzwa. Vipi vingine vi Salary Slip, BAK...yule ArushaOne yeye amepotea kabisa
Tuko tayari kushirikiana na mtu yeyote atakayesaidia kung'oa ccm madarakani , hata kama ni Magufuli au Kikwete ama Makonda .Inahuzunisha kuona vijana ndio wanaongoza kwenye kundi la wanafiki nchi hii.
CC Salary Slip , BAK , Erythrocyte na nyumbxx wenzao
Huyo BAK ameshakula vya Lowassa. Hana aibu kabisaArushaOne amebadili ID na anasakwa sana. Hivi karibuni ataanikwa na yeye.
Baada ya huyu, tunaanza kumwanika yeye. Jamaa yangu BAK mbishi kama ruba. Pamoja na kumwanika anaona yeye hateteleki na msimamo wake.
Ha ha ha ni mwendo wa kufukua makaburi tuHuyo BAK ameshakula vya Lowassa. Hana aibu kabisa
Mkuu, kesho yake kilihesabiwa chama chote cha CHADEMA (pamoja na wewe) kwa bei ya bilioni ngapi sijui! Na huo ndio ukawa mwisho wa movie.Unataka kujua kesho nani wataenda kuhesabiwa? Usikose kuungana nasi hapo kesho kwa sehemu nyingine ya movie hii ya kusisimua, "SIMAMA UHESABIWE". !
Wasalaam,
Malisa GJ.!
Mkuu hayo mazingaombwe ya "kufuta kauli" ni bungeni, sio humu.Makaburi yanafukuliwa
Hivi JF haina option ya kufuta Uzi![]()