utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mtapoteana sana
Walivyo hawana aibu wanaweza kuja kukanusha kama haya siyo maandishi yake.Sidhani kama malisa anaweza kusema lolote ktk hili bandiko lake
Kuna msemo unasema usimuamini mwanasiasa
Pole mtoa mada
Sidhani kama malisa anaweza kusema lolote ktk hili bandiko lake
Kuna msemo unasema usimuamini mwanasiasa
Pole mtoa mada
Vipi ila hujaona shida kwa chadema nzima kumpisha edo kitiMimi niliona shida sana, wachungaji wetu wanapotakiwa kufika jimboni huwa sahani ya sadaka huwekwa kwa ajili ya kumchangia nauli mchungaji ili aweze kufanikisha safari, leo tunaambiwa amefika Dodoma bila sisi kujitolea kumchangia wala hakuanga kama atakuwa na safari, nimeamini lile kundi la wasabato masalia waliokaa airport DAR wakisema wanasubiri ndege itakayowapeleka ughaibuni kuhubiri walikuwa sahihi. Iweje wachungaji wetu leo wamesafiri bila kutuchangisha nauli?
Vipi ila hujaona shida kwa chadema nzima kumpisha edo kiti
Sinema yetu inaitwa SAFARI YA MATUMAINI. Episode maarufu ni hii inayoendelea sasa, inaitwa SIMAMA UHESABIWE. Ktk Episode hii watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanasafiri kwenda kuhesabiwa nyumbani kwa stelling wa movie hii.
Tayari masheikh wameshahesabiwa, wachungaji wa pentecoste wameshahesabiwa, wanafunzi wa UDOM nao wameshahesabiwa, na leo madereva bodaboda wameenda kuhesabiwa. Cha ajabu wote wanaoenda kuhesabiwa wanadai hawajuani wala hawana mawasiliano yoyote na stelling wa movie hii.
Yani wakati bodaboda wa Mbarali wanajiandaa kwenda kuhesabiwa leo, hawakujua kama wachungaji walihesabiwa jana. Na Masheikh wa Bagamoyo walipoenda kuhesabiwa hawakujua kama kesho yake wanafunzi wa UDOM wangehesabiwa. Yani kila kinachotokea kwenye movie hi ni incidence.!
Cha ajabu hata stelling wa movie hii hajui nani anakuja kuhesabiwa kesho yake. Jana alipomaliza kuwahesabu wachungaji hakujua kama leo wangeenda bodaboda. Ameshangaa tu hao.! Na kesho pia atashangaa wengine hao. Yani wanakuja tu. Hajawaandaa.. Hajaorganize ujio wao.. Yeye anashangaa tu haoo.! Hahahaah.. hii Episode tamu sana.
Unataka kujua kesho nani wataenda kuhesabiwa? Usikose kuungana nasi hapo kesho kwa sehemu nyingine ya movie hii ya kusisimua, "SIMAMA UHESABIWE". !
Wasalaam,
Malisa GJ.!
mkuu bado moja ile nyeupe peeeh!!Magu ni noma. Hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu

Kajamaa kanafiki sana aka....ukiwa mjuaji kupika kiasi siku moja unaumbuka kama hiviii
Vipi chadema na bavicha mlishamaliza kuhesabiwa?Sinema yetu inaitwa SAFARI YA MATUMAINI. Episode maarufu ni hii inayoendelea sasa, inaitwa SIMAMA UHESABIWE. Ktk Episode hii watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanasafiri kwenda kuhesabiwa nyumbani kwa stelling wa movie hii.
Tayari masheikh wameshahesabiwa, wachungaji wa pentecoste wameshahesabiwa, wanafunzi wa UDOM nao wameshahesabiwa, na leo madereva bodaboda wameenda kuhesabiwa. Cha ajabu wote wanaoenda kuhesabiwa wanadai hawajuani wala hawana mawasiliano yoyote na stelling wa movie hii.
Yani wakati bodaboda wa Mbarali wanajiandaa kwenda kuhesabiwa leo, hawakujua kama wachungaji walihesabiwa jana. Na Masheikh wa Bagamoyo walipoenda kuhesabiwa hawakujua kama kesho yake wanafunzi wa UDOM wangehesabiwa. Yani kila kinachotokea kwenye movie hi ni incidence.!
Cha ajabu hata stelling wa movie hii hajui nani anakuja kuhesabiwa kesho yake. Jana alipomaliza kuwahesabu wachungaji hakujua kama leo wangeenda bodaboda. Ameshangaa tu hao.! Na kesho pia atashangaa wengine hao. Yani wanakuja tu. Hajawaandaa.. Hajaorganize ujio wao.. Yeye anashangaa tu haoo.! Hahahaah.. hii Episode tamu sana.
Unataka kujua kesho nani wataenda kuhesabiwa? Usikose kuungana nasi hapo kesho kwa sehemu nyingine ya movie hii ya kusisimua, "SIMAMA UHESABIWE". !
Wasalaam,
Malisa GJ.!
Vitakuja kusema haya maandiko yamegeuzwa. Vipi vingine vi Salary Slip, BAK...yule ArushaOne yeye amepotea kabisaWakati kanajifanya kanaleta hoja zake za Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) juzi, nilimwambia we mhuni tu. Wengine walibisha.
Kalieleza kwenda kuhoji polisi bila kwenda kwa mwajiri wa Ben Saa8 na Mhariri wa MwanaHalisi. Kakawa kanabadilisha muda wa kupotea kwa saa8 wakati hata JF unaonyesha kapotea lini.
Sahizi kanajifanya kana majukumu zaidi hakajibu hata hoja zetu huku.
Manafiki mtu mbaya sana.
Sinema yetu inaitwa SAFARI YA MATUMAINI. Episode maarufu ni hii inayoendelea sasa, inaitwa SIMAMA UHESABIWE. Ktk Episode hii watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanasafiri kwenda kuhesabiwa nyumbani kwa stelling wa movie hii.
Tayari masheikh wameshahesabiwa, wachungaji wa pentecoste wameshahesabiwa, wanafunzi wa UDOM nao wameshahesabiwa, na leo madereva bodaboda wameenda kuhesabiwa. Cha ajabu wote wanaoenda kuhesabiwa wanadai hawajuani wala hawana mawasiliano yoyote na stelling wa movie hii.
Yani wakati bodaboda wa Mbarali wanajiandaa kwenda kuhesabiwa leo, hawakujua kama wachungaji walihesabiwa jana. Na Masheikh wa Bagamoyo walipoenda kuhesabiwa hawakujua kama kesho yake wanafunzi wa UDOM wangehesabiwa. Yani kila kinachotokea kwenye movie hi ni incidence.!
Cha ajabu hata stelling wa movie hii hajui nani anakuja kuhesabiwa kesho yake. Jana alipomaliza kuwahesabu wachungaji hakujua kama leo wangeenda bodaboda. Ameshangaa tu hao.! Na kesho pia atashangaa wengine hao. Yani wanakuja tu. Hajawaandaa.. Hajaorganize ujio wao.. Yeye anashangaa tu haoo.! Hahahaah.. hii Episode tamu sana.
Unataka kujua kesho nani wataenda kuhesabiwa? Usikose kuungana nasi hapo kesho kwa sehemu nyingine ya movie hii ya kusisimua, "SIMAMA UHESABIWE". !
Wasalaam,
Malisa GJ.!
BAK, nguruvi, mchunguzi,.........Vitakuja kusema haya maandiko yamegeuzwa. Vipi vingine vi Salary Slip, BAK...yule ArushaOne yeye amepotea kabisa