Malisa Godlisten
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 202
- 1,588
Sinema yetu inaitwa SAFARI YA MATUMAINI. Episode maarufu ni hii inayoendelea sasa, inaitwa SIMAMA UHESABIWE. Ktk Episode hii watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanasafiri kwenda kuhesabiwa nyumbani kwa stelling wa movie hii.
Tayari masheikh wameshahesabiwa, wachungaji wa pentecoste wameshahesabiwa, wanafunzi wa UDOM nao wameshahesabiwa, na leo madereva bodaboda wameenda kuhesabiwa. Cha ajabu wote wanaoenda kuhesabiwa wanadai hawajuani wala hawana mawasiliano yoyote na stelling wa movie hii.
Yani wakati bodaboda wa Mbarali wanajiandaa kwenda kuhesabiwa leo, hawakujua kama wachungaji walihesabiwa jana. Na Masheikh wa Bagamoyo walipoenda kuhesabiwa hawakujua kama kesho yake wanafunzi wa UDOM wangehesabiwa. Yani kila kinachotokea kwenye movie hi ni incidence.!
Cha ajabu hata stelling wa movie hii hajui nani anakuja kuhesabiwa kesho yake. Jana alipomaliza kuwahesabu wachungaji hakujua kama leo wangeenda bodaboda. Ameshangaa tu hao.! Na kesho pia atashangaa wengine hao. Yani wanakuja tu. Hajawaandaa.. Hajaorganize ujio wao.. Yeye anashangaa tu haoo.! Hahahaah.. hii Episode tamu sana.
Unataka kujua kesho nani wataenda kuhesabiwa? Usikose kuungana nasi hapo kesho kwa sehemu nyingine ya movie hii ya kusisimua, "SIMAMA UHESABIWE". !
Wasalaam,
Malisa GJ.!