Miezi miwili iliyopitaHii imetokea lini Mkuu?
Simon Simalenga ndo huyo mwenye suti nyeusi kulia. Alikua mwigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu, miaka hiyo akiitwa "Metu". Baadae akaajiriwa na ile redio maarufu aliyovamia Bashite.Simalenga ndio nani na Heri ndio yupi na wanaumuhimu upi hapo Lumumba?
Watu wako field kutafuta kura nyie mnakuja na porojo.... LB7 ni ukweli imeadimika sana hata hapa JF.... Kumbe ule ubatizo wa moto unaendelea kimyakimya