Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,187
Kumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.

Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa Falcon kwenye supu. Mlikuwa na kelele sana UVCCM tulieni sasa!

Naona mmeamua kuja na Aminia255

Simalenga bwana.. Meko kasema hataki UVCCM maana mnaleta migogoro kwenye chama.

Heri na wewe kumbe umepigwa marufuku kuhudhuria vikao vya kamati kuu?

Tulieni sasa maana mlikuwa na kelele sana humu. Haya bosi alikuwa anawapa hela ya bando Simalenga kafukuzwa Lumumba. Mtaelewa tu kidogo kidogo.

#Kigogo2014

1568255716270.jpeg
 
Simalenga ndio nani na Heri ndio yupi na wanaumuhimu upi hapo Lumumba?
Simon Simalenga ndo huyo mwenye suti nyeusi kulia. Alikua mwigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu, miaka hiyo akiitwa "Metu". Baadae akaajiriwa na ile redio maarufu aliyovamia Bashite.

Sina uhakika kama bado yuko kwenye redio hiyo mpaka leo! By the way umri wake sio wa kuwa UVCCM.
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom