East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Jambo ambalo silielewi ni kuwa lazima kiongozi wa hii dini aitwa Nabii Eliya? Nafahamu mwanzilishi aliitwa Thebeti Eliya ambaye alikuwa na wake kama 30 na kijiji chake kule Upareni Kilimanjaro baada ya yeye kufa akachukua uongozi huyu Munuo ambaye naye kaitwa Nabii Eliya Munuo. Je jina la Thebeti kabla ya kuitwa au kujiita nabii Eliya lilikuwa lipi? Na hili jina la Eliya kuna uhusiano wowote na Nabii Eliya wa Biblia ya Wakristo ambayo Siloam wanakiita kitabu hicho jina jingine? Naomba kuelimishwa kwa hayo.
Inaonekana kuna mambo mengi kuhusu historia ya kanisa hili ambayo unayafahamu, unaonaje kama ungefunguka zaidi lakini kwa nia njema "for the sake of knowledge",Jambo ambalo silielewi ni kuwa lazima kiongozi wa hii dini aitwa Nabii Eliya? Nafahamu mwanzilishi aliitwa Thebeti Eliya ambaye alikuwa na wake kama 30 na kijiji chake kule Upareni Kilimanjaro baada ya yeye kufa akachukua uongozi huyu Munuo ambaye naye kaitwa Nabii Eliya Munuo. Je jina la Thebeti kabla ya kuitwa au kujiita nabii Eliya lilikuwa lipi? Na hili jina la Eliya kuna uhusiano wowote na Nabii Eliya wa Biblia ya Wakristo ambayo Siloam wanakiita kitabu hicho jina jingine? Naomba kuelimishwa kwa hayo.
hao nao ni vichaa wa imani. bado kuwaona wakiendesha vifaru na magari ya deraya kutulazimisha imani yao ya kusali jumanne.Nimesikia kuna mtu amekufa toka jana asubuhi wanamwombea afufuke hadi saa hii...sasa sijui ameshafufuka ndo nilipenda nijue
Mkuu huyo mpare hakuanzisha dini ya Sloamu.Jina la huyo mpare alikuwa ni Eliya Msangi na alikuwa na wake 30 NA DINI ALIYOANZISHA HUKO UPARENI INAITWA UWATA akishirikiana na mnyakyusa mmoja mwenye wake KIBAO anayeitwa MWAKISWALELE wote wawili Eliya Msangi na Mwakiswalele walishakufa wakiacha nyuma UWATA ambayo bado ipo na ina mashule na miradi mingi tu.
SLOAMU NI DINI ILIYOANZISHWA NA NA NABII ELIYA MUNUO IKO TOFAUTI KABISA NA ILE DINI YA UWATA YA ELIYA MSANGI.
Hayo mengine ya kuwa Eliya hawa wakina MSANGI NA mUNUO NDIO ELIYA YULE WA biblia ? Hayo siwezi kujibu nawaachia wagalatia watusaidie kujibu KAMA akina PASCO,MISS CHAGA NA WENGINEO HUMU JAMII FORUMS.
huko upareni hata UWATA yenyewe haipo, halafu unasema mwanzilishi alitokea huko.
Unasema UWATA ina mashule na miradi mingi, ni upi upo huko upareni?
Inaonekana kuna mambo mengi kuhusu historia ya kanisa hili ambayo unayafahamu, unaonaje kama ungefunguka zaidi lakini kwa nia njema "for the sake of knowledge",
Nimeshtuka ulivyosema biblia wanaiita kwa jina lingine, nilisoma sehemu fulani kuwa waabudu mashetani wana aina fulani ya biblia inafanana na hii ya lawaida ila inatofauti fulani ambayo mtu wa kawaida hawezi kuitambua, na kitabu hicho hawakiiti biblia, wanakiita habari njema "good news".
Sasa hao Sloam wanakiitaje?
Mkuu huyo mpare hakuanzisha dini ya Sloamu.Jina la huyo mpare alikuwa ni Eliya Msangi na alikuwa na wake 30 NA DINI ALIYOANZISHA HUKO UPARENI INAITWA UWATA akishirikiana na mnyakyusa mmoja mwenye wake KIBAO anayeitwa MWAKISWALELE wote wawili Eliya Msangi na Mwakiswalele walishakufa wakiacha nyuma UWATA ambayo bado ipo na ina mashule na miradi mingi tu.
SLOAMU NI DINI ILIYOANZISHWA NA NA NABII ELIYA MUNUO IKO TOFAUTI KABISA NA ILE DINI YA UWATA YA ELIYA MSANGI.
Hayo mengine ya kuwa Eliya hawa wakina MSANGI NA mUNUO NDIO ELIYA YULE WA biblia ? Hayo siwezi kujibu nawaachia wagalatia watusaidie kujibu KAMA akina PASCO,MISS CHAGA NA WENGINEO HUMU JAMII FORUMS.
Afe tu,kuna mwingine kafa huko Mbele kwa kuzama kwenye maji eti alimuiga yesu kutembea juu ya maji
Yeriko Nyerere tafadhari njoo utusaidieNi kweli kuwa Biblia ina jina jingine kwa imani yao. Hilo jina nimelisahau. Jambo jingine ninalofahamu kuhusu hii dini ni kuwa Krismas yao inaadhimishwa tarehe 28 Februari na pia wana kalenda yao tofauti. Nafahamu alikuwepo Thebeti Eliya ambaye ndiye alisemekana alipokea kanisa likiwa ni kanisa la mwisho kwa imani yao nafikiri wanaita kanisa la nne. Yaani hili kanisa au dini imeanzia Tanzania na inategemewa kusambaa dunia nzima. Mimi sielewi kwa nini Mumuo naye ajeitwa Eliya. Ila ukiingia kwenye hii dini unapewa jina jipya na ukoo mpya. Inaelekea yule aliyekuwa na wake 30+ aliitwa Eliya Msangi sio huyu Theneti. Kwa vile hii ni dini mpya ambayo wengi hawaifahamu nadhani ingekuwa vizuri wenye mwanga zaidi kuhusu hii dini na viongozi wake wakawapa watu mwanga wakaielewa na labda wakashawishika,
Ahsante sana, Mwanzoni nilifahamu kuwa Thebeti Eliya ndiye aliyefia Upareni. Je una taarifa za huyu Thebeti? Kwenye google ukiulizia kuhusu Siloam utakutana na huyu Thebeti kama mwanzilishi wa hii dini hapa TZ.
Ni kweli kuwa Biblia ina jina jingine kwa imani yao. Hilo jina nimelisahau. Jambo jingine ninalofahamu kuhusu hii dini ni kuwa Krismas yao inaadhimishwa tarehe 28 Februari na pia wana kalenda yao tofauti. Nafahamu alikuwepo Thebeti Eliya ambaye ndiye alisemekana alipokea kanisa likiwa ni kanisa la mwisho kwa imani yao nafikiri wanaita kanisa la nne. Yaani hili kanisa au dini imeanzia Tanzania na inategemewa kusambaa dunia nzima. Mimi sielewi kwa nini Mumuo naye ajeitwa Eliya. Ila ukiingia kwenye hii dini unapewa jina jipya na ukoo mpya. Inaelekea yule aliyekuwa na wake 30+ aliitwa Eliya Msangi sio huyu Theneti. Kwa vile hii ni dini mpya ambayo wengi hawaifahamu nadhani ingekuwa vizuri wenye mwanga zaidi kuhusu hii dini na viongozi wake wakawapa watu mwanga wakaielewa na labda wakashawishika,
Duh
Kumbe!
Ngoja nifuatilie!
Mi cjui Kuhusu hyo mwanzilishi bt kwenye maombi yao huwa nasikia wanasema hiyo tebethi nilikuwa sielewi ni nn!
Hawa kanisa lao wana misemo yao...mfano ndoa inaitwa Agano...
Kula chakula wanasema kushiriki...
Wakristo wanapoomba kwa jina na kwa danu ya Yesu wenyewe ni tofauti wanasema kwa damu ya haki kweli na hukumu na Mungu wa Eliya. ..
kiukweli huwa siwaelewi... halafu mtumishi wao wanamwita mjumbe wa mapenzi ya Mungu nabii Eliya mjumbe kizazi cha nne nabii wa mwisho wa kizazi hiki!
Na kuna baadhi ya maandiko kwenye biblia wameyabadirisha eti yalikosewa!hapo ndo nilichoka!
Mungu atusaidie !!
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)
Kazi ipo! R.I.P.
Sasa kwani walishawahi ombea maiti kabla ya huyo....?