Ndugu kimbwe
Usilazimishe watu wakubaliane na hisia zako. Uislam una madhehebu. Na hilo linajulikana dunia nzima. Hiyo exclusiveness unayoionyesha ni dalili ya extremism katika imani. Na huo ni upotofu.
Sikulazimishi ukubaliane na mimi, na mimi siongei kwa hisia zangu, nimewaambia nitajieni dhehebu hata moja mnaanza kueleza habari za BAKWATA na vikundi kama boko haram na vingine, nani kakudanganya kuwa ni madhehebu ya uislam?