Siloam church

Siloam church

Na ni kanisa pekee linahimiza watu wanaoitwa mapadre na masista kutokuoa au kuolewa na wanazini na kulewa mvinyo kwa kushindwa kutawala tamaa za mwili

Nakuuliza tena.....Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?
 
Vipi nasikia Munuo amechukua Nafasi ya Yesu duniani.....

Umesikia? Kwa hiyo unafanyia kazi hear say? Kwa taarifa yako hakuna Yesu ila ni KRISTO anatawala! Kwa vile wewe mrumi na babu zako mlishiriki kumuwamba mtini mkijua mmemuua Yesu kumbe aliefufuka ni KRISTO anaetawala kwa uhalisia! Ole wako ewe kerubi wa kirumi!
 
Sasa wale wanaozika maaskofu ndani ya masinagogi ndio wanatueleza ya kuwa aliekufa ana ijara? Embu fungukeni macho!

Mbona unaji-quote mwenyewe.....Upo saw...???

Nakuuliza kwa mara nyingine tena......Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...???
 
Mbona haukufafanua kuhusu uzinzi na ulevi unaofanywa na mapadre na masista au ndo dini yenyewe sio? Au ndo ile mnayosema soma neno usifanye ninayotenda? Mnashangaza sana na mapokeo yenu ya kirumi!
Ala! Kwani uzinzi na ulevi ni wakatoliki tu? au kwasababu mti mwema ndio unaopigwa mawe? Nina mifano mingi ya mapadri wanofanya mambo makubwa sana kama Kutibu, kufundisha vyuoni , na kazi nyingi sana za kujitolea, ila nyie hivo kwenu sumu. Hao kina Gwajima, mzee wa upako sijui papaa wa upako,munuo sijui kwani skendo zao na wake za watu hatuzijui? angalia huyu aliyeshikwa juzi Fugitive American minister caught in Brazil | WTVR.com
 
Nakuuliza tena.....Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?

Nakujibu mara ya mwisho siku nilipogundua wewe ni mrumi nilisimamisha shukrani juu yako! Kwa vile nilidhani shaitwan alie ndani ya roho ya mnyama na vyura watatu keshatoka ndani yako!
 
Ninachompendea Yesu ni kimoja tu,alifuta dhambi duniani. Hilo tu,kunipa uhuru wa kufanya chochote nikitakacho maana alishalipa garama zake.

I love Jesus.

Hjajibu maswali hata moja niliyokuuliza...Naona unapotezea tuu....

Jibu maswali niliyokuuliza sasa...
 
Ala! Kwani uzinzi na ulevi ni wakatoliki tu? au kwasababu mti mwema ndio unaopigwa mawe? Nina mifano mingi ya mapadri wanofanya mambo makubwa sana kama Kutibu, kufundisha vyuoni , na kazi nyingi sana za kujitolea, ila nyie hivo kwenu sumu. Hao kina Gwajima, mzee wa upako sijui papaa wa upako,munuo sijui kwani skendo zao na wake za watu hatuzijui? angalia huyu aliyeshikwa juzi Fugitive American minister caught in Brazil | WTVR.com

Tatizo lako unatoa majibu ya mafungu kama unaeuza mboga za majani! Alieleta mada nikamjibu alisema kanisa lake ndilo pekee liko pure nika respond kwa kumweleza misimamo miovu iliyoko huko anapopasema sasa na wewe Ukisema kuhusu uzinzi na ulevi makanisani chambua mfano Siloam au kanisa lingine lichambue moja moja kwa vile mission zao ni tofauti.Anachofundisha Gwajima ni tofauti na mzee upako na kila mmoja anatoa ujumbe tofauti
 
Ninachompendea Yesu ni kimoja tu,alifuta dhambi duniani. Hilo tu,kunipa uhuru wa kufanya chochote nikitakacho maana alishalipa garama zake.

I love Jesus.

Hii ni hatari sana...Huna tofauti na huyo Munuo aliye kufa..
 
Mbona haukufafanua kuhusu uzinzi na ulevi unaofanywa na mapadre na masista au ndo dini yenyewe sio? Au ndo ile mnayosema soma neno usifanye ninayotenda? Mnashangaza sana na mapokeo yenu ya kirumi!

Punguza papara soma kwa makini...Majibu yote yametolewa...

Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini..?
 
Umesikia? Kwa hiyo unafanyia kazi hear say? Kwa taarifa yako hakuna Yesu ila ni KRISTO anatawala! Kwa vile wewe mrumi na babu zako mlishiriki kumuwamba mtini mkijua mmemuua Yesu kumbe aliefufuka ni KRISTO anaetawala kwa uhalisia! Ole wako ewe kerubi wa kirumi!

Daktari aliyekupima ugonjwa wa kichaa alihitimu masomo yake sawia..
 
Umesikia? Kwa hiyo unafanyia kazi hear say? Kwa taarifa yako hakuna Yesu ila ni KRISTO anatawala! Kwa vile wewe mrumi na babu zako mlishiriki kumuwamba mtini mkijua mmemuua Yesu kumbe aliefufuka ni KRISTO anaetawala kwa uhalisia! Ole wako ewe kerubi wa kirumi!

hakika hapa atulipofikia ni afadhali ukutane na Al-shabaab...
 
Rudi tena kapime....Psychiatric level yako ipo juu sana...

Tatizo lako gongo uliokunywa shirati bado imakusumbua nakuhusia uwe mpole na usome NENO kwa ufasihi maradhi yote yanayokusumbua na imani yako haba kama ya mfalme Asa ya kwenda kuwaona sangoma itakwisha!
 
Wachaa...Daaah.....

Sasa nisikilize kwa makini...Nakushauri uende MUHIMBILI kama upo DSM kwenye Clinic ya Magonjwa ya akili ukapate tiba mara moja...

Na inavyoonekana hilo KAnisa zima za MUNUO ni vichaa....Fanya hima fika mapema
 
Sikiliza! Kama wewe ni kerubi na uzao wa kizazi nyoka hautanielewa ila kama hautaifanya shingo yako kuwa ngumu na ukakubali ya kuwa NENO la MUNGU ni zaidi ya ufahamu wa hao Madaktari wako wa muhimbili ukatulia ulisome NENO na kupata ufahamu HAKIKA MUNGU ATAJIDHIHIRISHA kwako. Kumbuka Nimekuonya usiwe kama mfalme Asa alieponywa ugonjwa na MUNGU baadae akadanganywa na sangoma MUNGU akamuua kwa vile alikuwa na mahali pa juu! Kila la heri otorongongo!
 
Wewe nimeshakuweka kundi la vichaa wa JF....
 
Back
Top Bottom