Kwani AD hajakwambia chochote lolMhhh mbona unajitetea sana
Njoo bana ujibu maswali bana
The finest naomba nsiku nunie ..
niambie basi naomba ee mtoto mzuri ..
AD unanichimba eheeee lolameanza kudeka ..
anataka ku bembelezwa ...
niachie hiyo kazi hahahah lol
Inayopandisha presha zaidi ni pale baada ya kuuliza, "Unakubali tuoane, nikuoe, kuwa mke wangu n.k?", mtarajiwa anauchuna kama dakika 5 hivi baadae inamtoka: N........................................................................ya kigugumizi au anapumua kwa Haaaaaaa.......................
Hujui kama hiyo N...........................zitamalizia kuwa NDIO au NO na Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........itaishia na HAPANA au YES. Unachanganyikiwa. Hujui kama ni stress yake, kupumua au ndio umewachwa solemba. Lakini hatimae kauli inatoka. N.........................DIO, au YES.
Kaizer Pole ..
vizuri kusikia hukukata taamaa
Kwani AD hajakwambia chochote lol
Unakumbuka siku ile wakati nimetoka kuchunga mbuzi wa babu (Asprin) halafu wewe ulikuwa umekaa kule karibia na wanapoweka kuni........TF naomba basi kidoncho tuuu..
nawe bana wataka nlie au niondoke..
Vipi ya kwako ilikuwa wizi mtupu nini????wizi mtupu