Silly question...

Sijui kwake ilikuwa ni concidence au ni alama flani but kuna rafiki yangu nimediscuss naye hii mada akanambia yeye zake alivishwa wakiwa watupu (alishawahi kuvikwa na wawili) na wote wakaomtenda. Sasa sijui hawa wanaofanya kwa siri huwa wanakuwa wanajua kuwa hawana uhakika au vipi lol. Huyu wa tatu amemvikia kanisani, siku ya fellowship. I hope italast.

Hivi bado hajajitokeza wa kunitunuku kikongwe mie?? we AD, kwani hairuhusiwi mie kupiga goti?! nachoka kusubiri mjue!

Ndio maana nilishakataa kutafuta mchumba kwenye fellowships, bora hata baa au la basi nivizie hata housegirl wa jirani jamani khaaa!!! Yaani mtu alishavishwa pete akiwa mtupu mara mbili, halafu baada ya hapo akakimbilia kanisani!
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom