Sili tena nyama za buchani

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Kwaanzia leo sili tena nyama za buchani. Sitaki kushiriki ibada za kipagani na kishirikina.

Hata matunda ya Mudi tende naepuka sana hata kuonja.

Kabla ya kunywa hata maji ya chupa nakagua kwa umakini kama ni ya zamzam. Nikijiridhisha siyo ndo nakunywa.

Kama muumini wa Mungu wa kweli sitaki najsi kwenye mwili wangu na imani yangu nimedhamiria kwenda mbinguni.

Kwaiyo sitashiriki nakujihusisha na ibada za kipagani.

Nyau de adriz
 
Dah watu mmezidi chuki sasa matunda tu. Wagalatia bana.
 
Mods mko wapi muondoe hii takataka.
 
Mkuu punguza mihemko ya chuki. Tende mbona fresh tu hata sasa hivi nimetoka kula. Nyama sitaacha kula na huwezi kupata popote ila buchani labda ule ambazo umejichinjia.
 
Dah watu mmezidi chuki sasa matunda tu. Wagalatia bana.
Mkuu punguza mihemko ya chuki. Tende mbona fresh tu hata sasa hivi nimetoka kula. Nyama sitaacha kula na huwezi kupata popote ila buchani labda ule ambazo umejichinjia.
Mods mko wapi muondoe hii takataka.
Mpaka hii winter iishe utaokota makopo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Maji ya zamzam ndo ya aina gani?na Yana athari gani?
 
Mimi nailaumu Iran hadi leo. Kwanini isirushe kombola kwa mashirika wa Marekani, Saudi Arabia, tena ipige na kusambaratisha Al Kaaba?

Maana haiwezekani Al Kaaba ikae kwenye nchi ya kikafir kama Saudi Arabia. Bora tujenge Al Kaaba mpya Tehran, Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…