Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,954
- 831,490
Kwanza uchovu wake angechelewa hata kaziniHaswa vingekuwa vinamfika haswa asingekuwa ana gubu hilo
Kwanza uchovu wake angechelewa hata kaziniHaswa vingekuwa vinamfika haswa asingekuwa ana gubu hilo
Tumuulize vzur huyo mwanaume ni wa mkoani au???Kwanza uchovu wake angechelewa hata kazini
Mke wako au mume wako? Maan naona una jina la kike na picha pia ambayo haielezi uhalisia wako. PiaHaujaeleza gubu linatokana na nini na kwanza gubu ndiyo kitu gani? Ukiona hivyo ujue hapendezwi na wewe kutokuwa na nyumba ndogo.Wakuu wazima?
Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.
Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.
Mpaka nimeamua kuandika hapa yamenishinda, jana usiku sijalala na sio jana tu karibia kila siku silali yani anaongea mameno yasiyoishaa.
Naombeni mnishauri wakuu, nifanyaje mke wangu asiwe na gubu? Maana hapa nilipo kichwa kinauma maana sijalala
Dah.. Achana naye tafuta mwanaume bana, Dunia imejaa midume mingi tu 😛Wakuu wazima?
Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.
Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.
Mpaka nimeamua kuandika hapa yamenishinda, jana usiku sijalala na sio jana tu karibia kila siku silali yani anaongea mameno yasiyoishaa.
Naombeni mnishauri wakuu, nifanyaje mke wangu asiwe na gubu? Maana hapa nilipo kichwa kinauma maana sijalala
Dawa ya mwanamke mwenye gubu au anayeongea mambo yasitoisha au anayepiga kelele zisizo na mwanzo wala mwisho ni.....
1. Mwanaume wake anatakiwa awe mtu wa vitendo na si kujibizana naye pia awe mkimya.
2. Amshikishe adabu mwanamke au kumnyamazisha mara moja moja kwa kumnasa kibao kimoja tuu kikali. Halafu mwanaume huongei kitu ila isiwe mara kwa mara kumpiga vibao hivyo ili mwanamke asizoee hivyo vibao akakudharau au akakuzoea kuwa huwa unampiga vibao. Baada ya kumnasa kibao akiendelea kuongea kwa gubu na kugomba ondoka nyumbani kama ni muda wa mchana. Kama ni usiku washa kibao cha pili na uingie kulala bila kumsemesha.
3. Dawa ya mwisho ya mwanamke mwenye gubu ni kumlala kiasi kwamba akiamka asubuhi hoooiiii hata kutembea awe kama mtoto anayesimama dede na kesho yake akizidisha gubu we mfanye tuu.....ILA.... umfanye kwa kumuandaa sio kumuumiza kama unambaka. Hapo lazima akuheshimu.
Pole kwa kuwa na mke mwenye gubu ni zaidi ya kulala kwenye kituo cha daladala chenye mateja wanaopiga debe mabasi ya mwenge kariakoo.
Kasie.
Hongera kwa kumpata mume JfMkuu acha kunidhalilisha unajua my mume nilimpata hapa JF
so ndugu yako ana taarifa kuwa habari yake imevujishwa huku jf?Mimi ni ke ila nimeleta habari ndugu yangu yanampata hayo
Nacho cha ruwa
Siku hizi umeuza simu... "nipigie..."
Hhahahahaaaa now days its smiling for life..... and dancing for health...... of course at the same time rejuvenating looh
Ila umenipa stimu.......... 😉😉😉
😀😀 labda kibamia/mbilimbi
Virungu havifikii ugoko ndo maana