Silali usiku: Mke wangu ana 'gubu'

Silali usiku: Mke wangu ana 'gubu'

Dawa ya mwanamke mwenye gubu au anayeongea mambo yasitoisha au anayepiga kelele zisizo na mwanzo wala mwisho ni.....
1. Mwanaume wake anatakiwa awe mtu wa vitendo na si kujibizana naye pia awe mkimya.
2. Amshikishe adabu mwanamke au kumnyamazisha mara moja moja kwa kumnasa kibao kimoja tuu kikali. Halafu mwanaume huongei kitu ila isiwe mara kwa mara kumpiga vibao hivyo ili mwanamke asizoee hivyo vibao akakudharau au akakuzoea kuwa huwa unampiga vibao. Baada ya kumnasa kibao akiendelea kuongea kwa gubu na kugomba ondoka nyumbani kama ni muda wa mchana. Kama ni usiku washa kibao cha pili na uingie kulala bila kumsemesha.
3. Dawa ya mwisho ya mwanamke mwenye gubu ni kumlala kiasi kwamba akiamka asubuhi hoooiiii hata kutembea awe kama mtoto anayesimama dede na kesho yake akizidisha gubu we mfanye tuu.....ILA.... umfanye kwa kumuandaa sio kumuumiza kama unambaka. Hapo lazima akuheshimu.

Pole kwa kuwa na mke mwenye gubu ni zaidi ya kulala kwenye kituo cha daladala chenye mateja wanaopiga debe mabasi ya mwenge kariakoo.

Kasie.
Namba moja na tatu nakubaliana na wewe 100%. Awe kimya, asipenede kujibizana nae coz akifanya hivyo anampa mkewe airtime.

Namba mbili siafiki kabisa, ni kitu kibaya sana kumpiga mke wa ujana wako, yeye sio property bali sehemu ya mwili.
 
Namba moja na tatu nakubaliana na wewe 100%. Awe kimya, asipenede kujibizana nae coz akifanya hivyo anampa mkewe airtime.

Namba mbili siafiki kabisa, ni kitu kibaya sana kumpiga mke wa ujana wako, yeye sio property bali sehemu ya mwili.

You are such a man...... I admire 🙂
 
Hivi huyu mtu yupo bado palepale kwenye lile jengo? How come simuonagi tena siku hizi...

That sounds good...on a Friday i propose!!!

Yupo bana memuona mahali. You can check on him if it sound good for him to join us at Akemi Friday lunch.
 
Akiongea sana wewe kua mpole kisha usiwe na hasira wala majibu ya harakaharaka na marefu, akiongea 20 jibu 1, wala usimpige, tafuta siku anaonyesha ana furaha ndio wewe umkumbushie kisha chapa makofi,
 
Wakuu wazima?

Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.

Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.

Mpaka nimeamua kuandika hapa yamenishinda, jana usiku sijalala na sio jana tu karibia kila siku silali yani anaongea mameno yasiyoishaa.

Naombeni mnishauri wakuu, nifanyaje mke wangu asiwe na gubu? Maana hapa nilipo kichwa kinauma maana sijalala
Mchaga gani anakuwa na gubu
 
Women like silent men. They think they're listening......
 
Wakuu wazima?

Mke wangu amekuwa mtu wa kuongea maneno yasiyoisha.

Wakati mwingine mnaweza mkapishana na mkaombana msamaha yakaisha lakini anakuja anakumbushia tena.

Mara nyingi ninakuwa nipo kazini kwahiyo huwa sipo nyumbani, sasa je kama ningekuwa nyumbani sijui ingekuwaje? Maana nikirudi tu usiku anaanza..

Mpaka nimeamua kuandika hapa yamenishinda, jana usiku sijalala na sio jana tu karibia mara kwa mara silali yani anaongea maneno yasiyoishaa.

Naombeni mnishauri wakuu, nifanyaje mke wangu asiwe na gubu? Maana hapa nilipo kichwa kinauma maana sijalala.
Mara nyingi huyo jamaa amefanya vitu ambavyo kwa namna flani vilimuumiza huyo mwanamke hivyo hasahau, kikitokea kingine hata kidogo anakumbuka vyote.
Prescription yake hapo: kama anataka amani aoneshe amebadilika kwa kila hali, hapo kutakuwa na amani.
 
mke wa hivyo dawa yake ni Dushe tu, ukitoka kazini akileta kelele usiongee kitu. Mbebe kimahaba, muingize chumbani mpe nao. fanya hivyo utaona.
 
Anunue earphone, mwanamke akianza kuongea anaweka zake earphones masikioni anatulia
 
Back
Top Bottom