Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

Nachompendea Uk huwa hawazi mara 2 akiamua lake ni fasta tu anatekeleza. Ndio nchi ya kwanza kwa westerners kutoa support mapema zaidi kwa Ukraine pasi kujali mkwara wa Putin.
Ulaya huyu ndo mwamba wa fitna na vita.
 
Ngoja wafanye miscalculation...Putin kasema, wakitumia Hizo Nyuki rasharasha, yeye atatumia Nyuki halisi .



Xi- Jinping wakati anamuaga Putin amesema " Kuna mabadiliko yanakuja, mabadiliko ambayo hayajawahi shuhudiwa Kwa miaka 100".


Putin akajibu... Nakubaliana nawee


Xi- akasema... kua mwangalifu rafiki yangu Kipenzi.


Putin akasema.... Ufike Salam rafiki yangu .



Katika kosa kubwa walifanya Wamagharibi, ni kuuchochea Urusi na Wachina wawe marafiki.


Embu fikiria, Urusi ni Taifa kubwaa kijeografia Duniani na lenye natural resources za kutosha .

UCHINA yeye ana mahela mengiiiii.


Sasa Huu ushirikiani wa Urusi-Uchina, huoni ni wamotoo? Hapo wanamuingiza Muiran ambaye naye ni Taifa kubwa lenye ushawishi mashariki ya Kati na Amerika ya kusini, BRICS , SCO, CSTO bado, n.k


Wamagharibi walitakiwa kushirikiana na wamashariki , Dunia ingekua salama sana.
Unajua NATO imeundwa na nchi ngapi au mahaba na PUTIN yamekufanya uwe chizi
 
Hata wa wakati wa Hitler ndio walikuwa taifa la kwanza kumpinga, kumkataa na kutangaza vita dhidi yake. Waingereza ni watu wenye msimamo sana wakiamua jambo lao.
Nachompendea Uk huwa hawazi mara 2 akiamua lake ni fasta tu anatekeleza. Ndio nchi ya kwanza kwa westerners kutoa support mapema zaidi kwa Ukraine pasi kujali mkwara wa Putin.
 
UK ni mmarekani aliyeyopo ulaya, kinachokushangaza hapo ni nini?
Sasa hoja yako inalenga kitu gani? Kama ni mmerekani aliyepo Ulaya ndio inafanya awe wa mbele kwenda Ukraine kabla ya US wenyewe?

Mwenyewe umeona umetoa bonge la point?
 
tatizo lilianzia hapa.
atakae isaidia ukraine jibu la russia litakua ni la hapo kwa hapo. na matokeo yake itakua haijawah kutokea.
 
Yasemekana kuwa Marekani inajiandaa kupeleka Cruster bombs zaidi ya pcs 100K

Kazi kwenu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.

Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.

UK yajitetea kuwa silaha hizo hazina madhara ya Nuklia,wanazituma ili zitumike katika Challenger Tanks.
Jibu la UK ni moja kwa moja hakuna tena tumaini la maisha ya wahanga wa vita kwa sababu hizo silaha wanazotumia zinaharibu maisha ya watu na mazingira pia
 
Back
Top Bottom