Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.

Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.

UK yajitetea kuwa silaha hizo hazina madhara ya Nuklia,wanazituma ili zitumike katika Challenger Tanks.
 
Nachompendea Uk huwa hawazi mara 2 akiamua lake ni fasta tu anatekeleza. Ndio nchi ya kwanza kwa westerners kutoa support mapema zaidi kwa Ukraine pasi kujali mkwara wa Putin.
Kinachoniacha mie mdomo wazi,kabla hawajapeleka siraha mkoa mmoja ulienda,,,walipopeleka siraha mikoa minne ikaenda jumla.
JamiiForums-2066617636_111746.jpg
 
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.

Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.

UK yajitetea kuwa silaha hizo hazina madhara ya Nuklia,wanazituma ili zitumike katika Challenger Tanks.
Na urusi itakapokuja kujitetea baada ya kutumia silaha zake, muwe waelewa hivyo hivyo
 
hv upo timamu , Urusi kavamiwa ? Watu wanampa Ukraine silaha nchini mwake wala hazitumii njee ya nchi , Na yeye Urusi atumie nyuklia nchin kwake aone kama kuna mtu atamlaumu , HII NCHI INA VICHAA WENGI SANA
Ndio kavamiwa, hayo majimbo yameomba kujiunga na Russia kwa usalama wao na Russia ameyakubalia kuwa atayalinda na ndicho anachokifanya kwa sasa. Hilo nalo hulifahamu??
 
Back
Top Bottom