Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

Silaha zenye Nyuklia kutumwa Ukraine

Kinachoniacha mie mdomo wazi,kabla hawajapeleka siraha mkoa mmoja ulienda,,,walipopeleka siraha mikoa minne ikaenda jumla.View attachment 2561462
Hiyo mikoa unayosema ilienda ni mikoa ambayo tayari Russia alikua anaitawala kupitia mamluki wake ma Ukraine walikua wakipigana wakitumia wanamgambo wao ili kuirudisha, labda kama umeanza kufuatilia hiyo vita wakati wa majira ya baridi.
Pia ukumbuke walishafika hadi Kyiev na msafara mrefu tu, labda ujiulize kwamba kama walishaingia Ukraine na kuizingira Kyiev kutoka pande zote, ni nini kimetokea hadi leo wamebaki huko prmbezoni na sasa wakishughulishwa huko Bahkumut
 
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.

Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.

UK yajitetea kuwa silaha hizo hazina madhara ya Nuklia,wanazituma ili zitumike katika Challenger Tanks.
Mzee wa ndaro anajulikana mwache ale shaba, China anamuangukia putin aache vita maana haya yeye anaipata vikwazo babkubwa US ni mnyama sana
 
hv upo timamu , Urusi kavamiwa ? Watu wanampa Ukraine silaha nchini mwake wala hazitumii njee ya nchi , Na yeye Urusi atumie nyuklia nchin kwake aone kama kuna mtu atamlaumu , HII NCHI INA VICHAA WENGI SANA
Wewe umejichunguzaa !!!??
 
Ndio kavamiwa, hayo majimbo yameomba kujiunga na Russia kwa usalama wao na Russia ameyakubalia kuwa atayalinda na ndicho anachokifanya kwa sasa. Hilo nalo hulifahamu??
hujui taratibu za eneo moja kutoka nch moja kwenda nchi nyingine ? unahisi ule ni uchaguz wa mwenyekiti , urusi ndo alikuwa msimamiz wa kura hizo halaf yeye ndo mgombea , ndio maana madikteta hawaishi Afrika sabab vichwa maji kama nying mnaunga mkono itikad zao
 
hujui taratibu za eneo moja kutoka nch moja kwenda nchi nyingine ? unahisi ule ni uchaguz wa mwenyekiti , urusi ndo alikuwa msimamiz wa kura hizo halaf yeye ndo mgombea , ndio maana madikteta hawaishi Afrika sabab vichwa maji kama nying mnaunga mkono itikad zao
Mbona mnaipigia upatu Taiwan kujitenga na China? Na wakati huo huo kwanini hamtaki Donbas ijitenge na Ukraine??
 
Nachompendea Uk huwa hawazi mara 2 akiamua lake ni fasta tu anatekeleza. Ndio nchi ya kwanza kwa westerners kutoa support mapema zaidi kwa Ukraine pasi kujali mkwara wa Putin.
Na day yatakayomtokea msije kukimbilia icc [emoji1787]
 
Alaf wanakuja kusema humu Putin ni katili[emoji1787]
Ngoja wafanye miscalculation...Putin kasema, wakitumia Hizo Nyuki rasharasha, yeye atatumia Nyuki halisi .



Xi- Jinping wakati anamuaga Putin amesema " Kuna mabadiliko yanakuja, mabadiliko ambayo hayajawahi shuhudiwa Kwa miaka 100".


Putin akajibu... Nakubaliana nawee


Xi- akasema... kua mwangalifu rafiki yangu Kipenzi.


Putin akasema.... Ufike Salam rafiki yangu .



Katika kosa kubwa walifanya Wamagharibi, ni kuuchochea Urusi na Wachina wawe marafiki.


Embu fikiria, Urusi ni Taifa kubwaa kijeografia Duniani na lenye natural resources za kutosha .

UCHINA yeye ana mahela mengiiiii.


Sasa Huu ushirikiani wa Urusi-Uchina, huoni ni wamotoo? Hapo wanamuingiza Muiran ambaye naye ni Taifa kubwa lenye ushawishi mashariki ya Kati na Amerika ya kusini, BRICS , SCO, CSTO bado, n.k


Wamagharibi walitakiwa kushirikiana na wamashariki , Dunia ingekua salama sana.
 
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38.

Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour.

UK yajitetea kuwa silaha hizo hazina madhara ya Nuklia,wanazituma ili zitumike katika Challenger Tanks.
Vifaru vya Kirusi vitakaangwa sana labda wangekuwa na T14 Armata za kutosha wangehimili hizo DU.
 
Naona sasa Ukraine kaamua hata aiharibu mazingira na ardhi yao yenye rutuba

Hayo masilaha anayoletewa yana sumu mbaya sana katika mazingira kwa ujumla na afya za watu

Matumizi ya hizo silaha yameleta uongezekaji wa magonjwa ya cancer kule Iraq

Nchi za Magharibi ni washenzi sana
 
Back
Top Bottom