silaha za jadi

silaha za jadi

mpigilie

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
310
Reaction score
136
Kuna jamaa alikua anafukuzwa na nyuki,akakumbuka njia nzuri ya kuwakwepa nyuki ni kulala chini,basi akalala chini lakini wale nyuki wakawa wametanda juu yake bila kuondoka kwa muda mrefu.
Jamaa akafikiria afanyeje ili nyuki waondoke,wazo likamjia akaanza kupumua kwa nyuma(kujamba)
Kufumba na kufumbua hakuna nyuki hata mmoja aliyebaki.

Jamaa alikua mbunifu kwenye kutumia silaha za jadi
 
teh huyo alitoa haja kubwa nyuki wakaamua kuwapisha wahusika[INZI]
 
Ndio unavotumiaga kufukuza wezi?? Ukifanya hivo kule znz akina jussa ndo kwaanzaaa watakufata uwajambie vizuri..
 
Bila shaka alikula maharage
 
unanikumbusha mkwawa aliwai kuwatoa nduki wajerumani kwa silaha ya mzinga wa nyuki..and thats why kuna silaha ya kisasa inaitwa mzinga mz4
 
Ugali kwa mbaazi,maziwa mgando na mayai ma4 ya kuchemshwa.
 
hao nyuki walikuwa wakisasa sio kienyeji
 
Ha ha haaaaa, kweli shida mama wa uvumbuzi

Mbinu kama hii iliwahi kutumiwa na mwanakamati mmoja ambaye alikua na mambo yake mengine ya kufanya ila kikao kilikua kinamchelewesha,akaamua kufyatua kitu cha yusuuuufu,mwenyekiti wa kamati ilibidi afunge kikao
 
Back
Top Bottom