Rio Shabazz
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,334
- 2,169
- Thread starter
- #21
Duuh sawa hata wao wanawaita wahima wa rwanda.Wewe ni mhima? Mkoa wa Kagera una makabila yake na yanatambulika. Hakuna kabila la wahima Tanzania. Hao ni wahamiaji haramu.
kama n wahamiaji haram mbona hawashikwi na wapo na vijiji kabisa