Sikuwa najua kama Tanzania ina kabila la Wahima, Karagwe Kagera!

Wewe ni mhima? Mkoa wa Kagera una makabila yake na yanatambulika. Hakuna kabila la wahima Tanzania. Hao ni wahamiaji haramu.
Duuh sawa hata wao wanawaita wahima wa rwanda.
kama n wahamiaji haram mbona hawashikwi na wapo na vijiji kabisa
 
Hapa nimetajiwa na vijiji vyao ambavyo ni vya wahima.
Pili si lazima wawe wa uganda maana uraia upo wa aina nyingi.
Nadhan hawa walifika siku nyingi wakapewa uraia
Unalazimisha vitu ambavyo havipo. Chukua muda na ujielimishe kuhusu dhana ya Wahima.
 
ndio nielimishe usiwe na papara!!

Kuna uraia wa aina tatu
1.Wa kuzaliwa (ww ukazalia mtoto uganda) mwanao anakua raia wa uganda kwa kuzaliwa
2.Kujiandikisha
Ww ukaomba uraia kenya kwa makaratasu ukapewa
3.Uraia kwa asili
Ww n raia kwasababu mababu na mababu zako ni wa nchi hii

Sasa niambie hapo unaposema si raia unaangalia wapi??
Kwa no tatu yaweza kua sahihi kama umesema tz hatukuwa na kabila hilo

je kama walikuja wachache wakaomba wakapewa wa kujiandikisha?
 
Wewe unaonekana sio Mtanzania na hauna asili ya Tanzania.
 
Wahima ni watutsi, Karagwe ilikuwa himaya moja na Rwanda, hata lugha zinafanana, watu wa Rwanda na Karagwe nii wamoja, Omukama Ntale alikuwa anatawala Rwanda hadi Karagwe
 
ndio nielimishe usiwe na papara!!

Kuna uraia wa aina tatu
1.Wa kuzaliwa (ww ukazalia mtoto uganda) mwanao anakua raia wa uganda kwa kuzaliwa
2.Kujiandikisha
Ww ukaomba uraia kenya kwa makaratasu ukapewa
3.Uraia kwa asili
Ww n raia kwasababu mababu na mababu zako ni wa nchi hii

Sasa niambie hapo unaposema si raia unaangalia wapi??
Kwa no tatu yaweza kua sahihi kama umesema tz hatukuwa na kabila hilo

je kama walikuja wachache wakaomba wakapewa wa kujiandikisha?
Ngoja nikuelimishe kidogo. Uganda Kuna kabila wanaitwa Wanyankole(kabila la rais Mseveni) hao Wanyankole wana matabaka yao ambapo moja kati ya matabaka hayo ni Wahima(bahima).

Mfano hai Rais Mseveni ni Mnyankole wa jamii/tabaka la Wahima. Ukiendelea ku trace ndani utakuta Wahima ni tabaka kubwa na la aina yake. Utashangaa kukuta hadi kina Kagame (Tutsi) ni Wahima. Pale Uganda Waganda wanaamini katika mioyo yao kuwa Mseveni ni Mu Tutsi kwa sababu Wanyankole (Wahima) wana interaction kubwa na Tutsi. Pia kwa kiasi fulani wanataka kufanana maumbo na hata shughuli zao kuu wote ni ufugaji.

Ili Tanzania tuwe na Wahima ni lazima kwanza tuwe na kabila la Wanyankole ambao ndani yake ndio Kuna tabaka la Wahima/Abahima.

Kwa mfano hapa Tanzania tuna Wanyantuzu ambao ni tabaka la kabila la wasukuma.
 
Umevunja sanaa
 
Wahima wako Uganda Rwanda na Tanzania Mkoa wa Kagera nimekutana nao sana pale Benaco ni Wafugaji wazuri wa Ng'ombe.
 
Back
Top Bottom