Mimi naamini kwamba mtoto anayepatikana bila kupanga, ni yule tu anayetokana na tendo la kubakwa. Lakini ile ya watu wawili kuafiki kubanjuana, matokeo yoyote hapo yanakuwa yamepangwa na wahusika.Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Nimewahi kusikia habari ya kuwa Mtoto yule ni kharamu. Ikoje hii kitu....!!!!?
Mimi naamini kwamba mtoto anayepatikana bila kupanga, ni yule tu anayetokana na tendo la kubakwa. Lakini ile ya watu wawili kuafiki kubanjuana, matokeo yoyote hapo yanakuwa yamepangwa na wahusika.
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Ufukara tu mkuu ndio unasababisha haya, lakini hakuna kitu cha furaha maishani kama kuwa na watoto angalau wawili.watoto ni baraka....full stop....
but binadamu tulivyo sio baraka zote tunazipokea kwa mikono miwili
I agree 100%
Mtazamo wangu tu...........
What is dini? seek straight relationship with God without depending this bore ring preachers, all of them are lies & just looking for our money through Sadaka & dhaka. Period.Hivi ndio baadhi ya vitu ambavyo sometimes vinanifanya nichukie dini. Mtoto hawezi kua haramu kwasababu sio aliyechagua azaliwe bila/kabla au nje ya ndoa!!
Binadamu unaweza sema sikupanga kuwa na mtoto.
Haijalishi utajitetea namna gani,lakini huyo ni wewe.
On the other hand,Mungu hayuko na hajawahi kuwa "sapraizid" na ujio wa mtoto duniani.
unaweza kushituka kuwa na mimba,lakini Mungu hajawahi kushituka "haaa,amepata mimba?"
Haijalishi umebakwa,au nini lakini huyo mtoto atakae tokea hapo
amepangwa na amekuja duniani kwa lengo moja tu,kumtumikia Mungu.
Ni rahisi sana kusema kinadharia.. Ila yakikufika utaelewa vyema nini tofauti kati ya nadharia na vitendo.. Ni hayo tu sina zaidi. Da Asha kafafanua vizuri kwenye post yake hapo juu..Sasa mbona umeishia kwenye kua uyaone bibie...?!Sema tuyaone manini!!
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Clemmy unaweza jibu upya bila kutumia dini (only if you don't mind)... yaani kwa kuangalia maisha yenyewe (thou ndio maisha bila Mungu haiwezekani)
Haha,ashaDii asante kwa kunipa option.
Ila out of faith sioni jibu,simaanishi wanaopata watoto "bila kupanga"
nawahukumu,...infact sikupanga kupata mtoto,...ila haimaanishi kwamba
aliye nipa huyo mtoto hakupanga kumleta duniani kupitia kwangu na
kwa mda uleule niliokua nafanya dhambi.
Sorry for disappointing you sister.
But it all begin with God.