Wamzz,
Kuna tatizo moja ambalo tunashindwa kulizingatia Azimio la Arusha ilikuwa ni Sera na Mawazo ya Mtu mmoja. Nae alitaka ahakikishe Linakubalika Hatakama alikubaliki, Linatekelezwa Hatakama Halitekelezeki. Mwl Aliamini na Ameondoka Duniani akiamini Hivyo kuwa Fikra zake ni sahihi siku zote hivyo hakuhitaji mchango/msaada wa Mawazo toka popote.
Wakati tunagutishwa "Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti", Washauri wake wanadai kuwa "Mzee Haambiliki".Sidhani sera inayokwenda mrama isipokubali ushauri na kufanyiwa marekebisho ingeweza kufika au kumfikisha yeyote alipokusudia.
Dear Makoko;
Nyerere
Nyerere was and he will still be a great leader to our nation, no matter what
Great leader/ famous people/ great people wengi ni wale wenye uwezo wa kuwaza na kutekeleza mawazo na imani zao. Nyerere aliwaza na kufanya kadiri alivyoona ni sawa kwake hata hiyo ya kuwa ''Mzee haambili'' ni tabia za watu wengi wenye misimamo na wnayoyaamini, na wale wasioamini wengine, japo hii inafaa sana kwa scholars wengine na sio kwa kiongozi!
Leo hii tangu ametoka madarakani, hana rais aliyeweza kusimamia na kuwziweka aideology zake wazi akakumbukwa vizazi vijavyo, hii inamweka Nyerere kuonekana bado anatawala hata hii leo! kama leo hii hatujaweza kuwa na ideology, systema na style nyingine za kutupeleka tunakoona kuzuri, then we have done nothing and JKN is credited and he is top by that very reason
Ujamaa wa Nyerere
Nyerere alikuwa msomi, mwenye exposure na aliyejua kuwa Ujamaa nchi zingine ulifanikiwa tu kwa style ya udikteta, So aidha awe dikteta ili ujamaa uoendelee mbele au asiwe dikteta. Ninaposema udikteta ni kuwa ujamaa ama kwa hakika ni level ya juu ya upendo, uzalendo, umoja, mshikamano, sio system ya ubinafsi, choyo, kutokujali wengine n.k. Hizi tabia nilizosema ziko within hatakama mtu atakuchekea na kukubeba kama mchoyo ni mchoyo tu! ni system ambazo inabisi unyoshe watu kwa lazima!
Nyerere ujamaa wake alihybrid, na kuleta upendo wake na kujitoa kama tunavyomfahamu leo, KUJITOA huku na UPENDO aliokuwa nao kwa raia wengine ndiko kulikomfanya aamini kama wengine wana tabia kama yake! akatuwekea Mkapa...
JKN hakuwa dikteta, na ujamaa ulifeli kwa sababu hiyo....... so kwa usomi wake alitakiwa yeye aidha aamue moja, kuwa typical dikteta au kuacha ujamaa!
naona ujamaa hapa umeshafeli kabla haujaingia kazini
Nyerere kama Kiongozi
Achilia mbali upendo aliokuwa nao kwa taifa lake, lakini alijawa na ubishi unaousema (kasoro hii) ambayo ikapelekea kutukuzwa, na kusema fikra zake ni sahihi. concept ya zidumu fikra sahihi na ujamaa ndio- I am assuming imetuleta hapa;
1. Leo hii viongozi hawasikilizi cha mtu, kwani ukishakuwa kiongozi ni bora na unajua kila kitu
2. Udumavu wa kufikiri na watu kuona kila kitu kinatakiwa kifanywe na kufikiriwa na viongozi
3. Kwa sababu hizo hapo juu, leo watu hawawezi kuuliza maswali karibu kila kona, hawawezi kuchagua viongozi wazuri
Kama hizo sio failure za huu msemo basi ndiyo tulivyo thena again AD is not solution!
Nyerere kama Mentor
Hakuweza na hajaweza kutoa kiongozi kama yeye au wa aina yake! sifa ya kiongozi yeyote lazima uwe influential na kutengeneza watu kama wewe, waliobaki ni waumini wa Nyerere, wapenzi wa Nyerere, CCM aliyoiacha tangu anaondoka hakuna aliyemkumbuka Nyerere, achila mbali Kikwete aliyeingia CCM ikiwa TANU, in leadership this is a failure na kujua ni kwa nini lazima tuangalie mambo mengine! moja ya sababu ni kuwa ideology ya kuwa 'najua kila kitu' ikawapoteza viongozi wengine wazuri maana watu walikuwa anamwogopa
Back to AD
If we real believe in democracy; AD then haikupata support ya wananchi!
Here is two sided of this AD!
''Ujamaa villages are intended to be socialist organizations created by the people, and governed by those who live and work in them. They cannot be created from outside, nor governed from outside. No one can be forced into an Ujamaa village, and no official - at any level - can go and tell the members of an Ujamaa village what they should do together, and what they should continue to do as individual farmers''
''Politically and socially the declaration was hugely unpopular. In 1974 Operation Dodoma forced collectivization of farming with the use of the military. Following the murder of Kleruu, a regional commission who sezied all of a Mr's Mwanwindi's land in 1975 and the public attention to the trial the collectivism of the Arusho Declaration finally ended. It was a complete failure and only plunged Tanzania into further debt, a crisis in its balance of payments deficits and worsened relations with international donors''
If it was free will kuanzisha vijiji vya ujamaa kwa nini jeshi waliingilia kati? leo hii tunataka tuanzishe vijiji wapi? maana kikubwa kinchokumbukwa ni kuwancishwa kwa vijiji vya ujamaa, is this was the only solution ya kuleta maendeleo?
My take
There is nothing wrong in putting your ideology, theories etc. hakuna tatizo kabisa kama ile AD ilikuwa sauti ya wanamapinduzi na kauli mbiu ya watu kuwa wazalendo! There is nothing wrong leo hii akatokea mtu ambaye ataayesema tuanzishe convincing debate tuwabadilishe mind ya watu na waweze kuwa raia bora!
There is nothing wrong kumpenda na kumuheshimu Nyerere , bila matusi n.k
Tatizo ni pale tunapotaka kuamini it was the only solution ya kutatua matatizo yetu, tatizo na kutokubali kulikuwa na makosa na AD inataka kuwa dini na siyo reality, tatizo ni kutokuwa na watu shupavu wa kulisimamia kwa vitendo.,Kuhubiri na kushawishi watu, AD ni ushawishi zaidi,
How to go about
Kwa sababu ilikuwa ni beliefs then watu employ techniques za marketing kuwashawishi watu-kivyao vyao na sio kulazimishana!!! sijaona sensible au necessityya kuwa lazima liwepo kama tuna sheria na katiba
Mkodini Komba na bendi yake apite kila mkoa akiwashawishi watu walihubiri azimio la Arusha, ili watu wafanye kazi na kujitegemea!!
Ila wale wanaotaka liwepo, litangazeni, lichambueni lilete ushawishi kwa watu, maana halina ulzaima wala sio excuse ya matatizo yetu, TUNA MATATIZO MENGINE MENGI TU! kama mtu unasema huwezi ukajitegema mpaka Nyerere atangaze AD si ndiyo matatizo hayo!
Kama watanzania walilikataa kipindi cha Nyerere leo hii kazi ipo.
wala asiseme mtu kuwa mbona lilipokolewa nchelea kusema imani za woga na kufuata mkumbo zimetuonyesha vitu vingi huwa vinadhaniwa sivyo
Hata mkisema ije AD au sijui nini, tabia ya Nyerere ya kupenda watu na kujitoa kwa watu wake ilikuwa exceptional, na hii tabia wengine wana changanya wanafikiri ilitokana na ideology zake---, leo hii hata kama kila raia atasema kutoka moyoni kuwa KARIBU AZIMIO la arusha kuwa sawa na Nyerere haiwekani ng'o ni ndoto, naam kwa tabia yake personal we have watu kama yeye hata kwa mifumo isiyo na AD ! KAMA WEWE BINAFSI una tabia za unyama na zisizo na utu , kuwa sawa na Nyerere ahaiwekani
Binadamu wanawekwa sawa tu na 'sheria na katiba' that is the only thing makes us equal!!!