K kimbwe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 707 Reaction score 213 Jul 29, 2014 #61 Naona huu uzi umeshapata majibu kuwa ni ndio sikukuu ya Eid husherekewa USA na dunia nzima.
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,495 Jul 29, 2014 #62 Sasa ikiwa USA hawasherekei na wewe usisherekee, acha kukubali kutawaliwa na wamarekani, jikomboe muafrika
Sasa ikiwa USA hawasherekei na wewe usisherekee, acha kukubali kutawaliwa na wamarekani, jikomboe muafrika
U Umsumbalembe JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 929 Reaction score 851 Jul 29, 2014 #63 Pumb said: yaani huku mbeya hakuna dalili yoyoye ya sikukuu Click to expand... Mwongo makubwa ww hapa Mbalizi Huoni?
Pumb said: yaani huku mbeya hakuna dalili yoyoye ya sikukuu Click to expand... Mwongo makubwa ww hapa Mbalizi Huoni?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,965 Reaction score 20,295 Jul 29, 2014 #64 Yaah huyu anawaza "pilau hili limetolewa kwenu kwa msaada kutoka Marekani"
S Sharifa du Pont Member Joined Jul 23, 2013 Posts 28 Reaction score 24 Jul 29, 2014 #65 Tanzania ni Nchi yenye Uhuru wa kuabudu acha ulimbukeni wewe kwani Marekani ndio nani? Wahusika Jf funga Uzi wa ugombanishi kama huu
Tanzania ni Nchi yenye Uhuru wa kuabudu acha ulimbukeni wewe kwani Marekani ndio nani? Wahusika Jf funga Uzi wa ugombanishi kama huu
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 505 Jul 29, 2014 #66 hayuko uyole yuko kwenye boxer haoni nje Gulaya said: Sasa pumbu uko uyole utamuona nani! Click to expand...
hayuko uyole yuko kwenye boxer haoni nje Gulaya said: Sasa pumbu uko uyole utamuona nani! Click to expand...
hasason JF-Expert Member Joined Sep 19, 2012 Posts 1,648 Reaction score 1,542 Jul 29, 2014 #67 kimbwe said: Acha uongo abu dhab haitambui x-max, wao wana public holiday 9 tu, na hiyo kitu x-max haipo. l Click to expand... So hapo ni mbagala na hao watu ni wamachame? soma kilichoandikwa hapo alfu unaijua AFP?
kimbwe said: Acha uongo abu dhab haitambui x-max, wao wana public holiday 9 tu, na hiyo kitu x-max haipo. l Click to expand... So hapo ni mbagala na hao watu ni wamachame? soma kilichoandikwa hapo alfu unaijua AFP?
jiwe la maji JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 1,062 Reaction score 705 Jul 29, 2014 #68 niko rock city huku hakukua na sherehe yoyote watu wameendelea na shughuri zao kama kawaida ila kuna mwislam 1 hapa katoa bufa lake nje anapiga disko la taarabu wasichana wanakata mauno
niko rock city huku hakukua na sherehe yoyote watu wameendelea na shughuri zao kama kawaida ila kuna mwislam 1 hapa katoa bufa lake nje anapiga disko la taarabu wasichana wanakata mauno