Sikukuu ya Eid el Hajj itakua lini?

Sikukuu ya Eid el Hajj itakua lini?

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,184
Reaction score
1,315
Jambo JF
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
 
shukrani Mrsgado nimekupata
 
Last edited by a moderator:
jambo jamii f.
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
Mrs. Dago
Kutokana na mwezi kuandama na tarehe kuwa sambamba na siku ya Arafat (Hijja)... EIDDI inabidi IWE SIKU YA JUMAMOSI 4th Oct. !!! Lakini Bakwata ina msimamo wake na Taasisi zingine inafuata maamrisho yake.

haijaalisha POKEA MKONO WA Eiddi !! hongera karibu tule nyama....!
 
Owh asante ntakaribia
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Dini iliyoteremka kutoka kwa Mwenyeezi Mungu "Muumba wa kila ukijacho na usichokijua" yaani tumeamrishwa kufuata Tabiya ya mzunguko wa MWEZI (Lunar calender) siku 30 au siku 29 nature hii inatokana na mzunguko wa falaki !!

Kwa kivile siku moja itazidi mwezi huu na siku moja itapungua mwezi ujao ( naturally)!!
 
Dini ni imani, na bila imani hakuna dini, kila dini ina misingi yake, na misingi ya dini moja inaweza kuikwaza dini nyingine. Vile vile dini moja inaweza kuwa na migogoro mingi na dini nyingine bila yenyewe kujijua - vile vile dini nyingine yenyewe ikawa na misingi ya kusamehe wakati nyingine kitu kama hicho hakipo kabisa - yaani mnamalizana hapo kwa hapo kwa zana yoyote itakayokuwa karibu.

Hizi ni dini zetu sote - na kila dini na msingi yake, na kila mwana dini ataona dini yake ipo sahihi kwa sababu ndani ya dini muumini yu mpofu.

Mwenyezi Mungu mtukufu hana dini, alichokiagiza yeye ni sisi wana -Adam tumwabudu na kumsujudu yeye peke yake kwa njia yoyote ile - lakini hatujui dini hizi zililetwa na nani hapa duniani na kwa madhumuni yapi hasa? je kutugawa, kutuweka wamoja, kuleta mifarakano ama? Ni nini iliyokuwa nia ya waleta dini.

Je ni dini pekee inaweza kukukutanisha na Mwenyezi Mungu? hakuna njia nyingine yoyote mwanadamu anaweza kutumia?
 
Mmmh huyu Mungu Wa kubahatisha sijui atajitambua lini![/QUOTE]

Sikukuu za kiislam hutegemea mwandano wa mwezi, na mwandamo wa mwezi ni unpredicatable...mwezi huandama siku 29 au 30 toka ulipoandama mwezi wa nyuma...
 
Back
Top Bottom