Sikukuu za kiislam hutegemea mwandano wa mwezi, na mwandamo wa mwezi ni unpredicatable...mwezi huandama siku 29 au 30 toka ulipoandama mwezi wa nyuma...
Kwenu wapi
Mie kwetu ni Dar/Upanga, lakini sikukuu ntakuwa kampala kwa mama na wajomba huko ! ukuiitaji tkt. ntakutumia uje kwetu.
Ahhha sie kwetu tanga kunani tanga raha ila sikukuu napenda kuilia home
Jambo JF
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
Akinizidishia Mbona itamwagika, Bora na wewe uje ukinge na wenzio mpate pia mfurahi inshaalla.Asee napendaje mungu akuzidishie inshaallah
" Home sweet home " Mbaraka L eidd....ukiniona kimya ujue sina !
Akinizidishia Mbona itamwagika, Bora na wewe uje ukinge na wenzio mpate pia mfurahi inshaalla.
Ahhhhha nikikinga pia vitamwagika
Ahhhha sasa hii ntaichenc vipi ahhahha
By the way asante
eheee, kumbe hujui kuhifadhi mtungini !!! Sasa ntaamini kweli untoka Tanga wee ?
Wooh, Benki zote zilizopo mujini? Usiwe na shaka its changable ! ila hiyo asante yako hakuna pakuichenji !! au siyoo?
naombea iwe katikati ya wiki.
Jmosi au jpili