albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 687
Nchi za kiarabu Arafah ni ijumaa na Eid ni jumamosi..........
excatly
Nchi za kiarabu Arafah ni ijumaa na Eid ni jumamosi..........
hivi ni mapumziko ya siku moja au mbili?
Nishapapata
Ntapafunguwa baada ya sikukuu, Nawe utakuwa Mgeni wa Heshima wa mwanzo.!
Ahhha aseee bahat ilioje
Bahati za wengine hupiga hodi !! hodi,,, odi eee ! hadi humpata astahiliyee...
Karne gani tena ! huoni Obama aliibuka katika ya Wabaguzi viboko !! huoni Oprah !! huoni humu nchini...! its known BAHATIKabisa na had ikufikie kama.hivi asee inachukua karne
Acha unafki dogonaombea iwe katikati ya wiki.
Karne gani tena ! huoni Obama aliibuka katika ya Wabaguzi viboko !! huoni Oprah !! huoni humu nchini...! its known BAHATI
Yeah....
Duga,magaoni,mkinga,mtimbaani,gombero,chongoleani,mwaako,daluni,monga!.Eid Mubaraka!
Jambo JF
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
Wakuu mwaka huu itakuwa ijumaa au jumamosi?I think so