Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Natanguliza salamu wana jamvi.
Nimepata bahati mbaya ya kutengana na mpemzi wangu katika siku za hivi karibuni za kukaribia sikukuu za IDI KUBWA baada ya kumaliza ibada ya hijja huko Makka.
Sherehe hizi kwa waislamu zitaanza alhamis tarehe 24/09/2015 zitanikuta nikiwa mpweke katika kuzisherehekea.
Kama kuna binti mrembo anaeweza kunipa kampani katika shereeh hizi namkaribisha. Ikiwa tutakubaliana tabia tunaweza kuwa wa kudumu katika mapenzi yetu.
Nina miaka 31.
Niko Zanzibar.
Mjasiriamali mfugaji.
Like football, action movies.