NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,298
Mkuu
1.Kuna DOLA tiifu KWA chama na serikali iliyopo madarakani!
2.kuna dola tiifu KWA Jamhuri na mstakabali wa Taifa na hiyo ndio yenye nguvu Zaidi kuliko ya kwanza!
Uelewa HURU huo nilioupata KWA miaka sita tangu 2015 hadi leo!!
Ccm ni kijana pendwa alieaminiwa na DOLA kuu lakini marafiki wabaya wanamdanganya Sana na kujaa KIBURI na kusahau walipomtoa akiwa TANU huko,Hadi Uhuru hadi mapinduzi ndio akazaliwa!
Ngoja Tuone hatma!!