Sikujua maana ya ‘nguvu ya dola’

Sikujua maana ya ‘nguvu ya dola’

Sukuma gang mnahangaika.

Hili gemu mulianzisha nyie. Feel the pinch now.
Hahahaha nilisahau Nguvu ya dola pia huwezesha watu kufikiri nje ya ubongo wao kama wewe apo KWELI DOLA INANGUVU.Malkia wa ukalidayo anajua kutumia dola
 
Dola ina nguvu sana

Ndio maana wengine tunatype hapa huku tukitetemeka.

Maana Mwenye mamlaka ni muoga sana wa kukosolewa.

Ukimkosoa kidogo tu anakula kicha. Ushahidi kwa ndugai na mbatia upo.

Mungu tu aendelee kutulinda kwakweli.
 
Kufika Bei ndo maridhiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?Ulikuwepo kwenye maridhiano?Wamelipana "bei" gani?Ni kwamba,watu sampuli yako hampo tayari,hampendi wala kusikia kitu amani kikitamalaki.Yawezekana mna maslahi mambo ya hovyohovyo yakitokea nchini.Hofu,utesaji,ubambikaji kesi,vipigo visivyo na makosa na hata mauaji mlifurahia sana.The evil regime's gone for good!Wake up na muache kutengeneza propagations ambazo hata mazuzu haziwaingii vichwani!
 
Amani wakati wafuasi wenu wanaona washauzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg wanaJamiiForums
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo

1. Dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari

2. Imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu

3. Viongozi wa kondoo kimyaaa

4. Tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu

Dola Ina nguvu sana, Iliweza kumbadilishia Jina Mh Mbowe na kumpa JINA la MBOWE Gaidi.

Dola ilimkamata akakaa JELA miezi 8 na ikauaminisha umma kuwa ubaya huo alitenda MWENDAZAKE. Na umma ukaamini na kushukuru alipotoka.
 
Mkuu ruka sarakasi basi hapo sebuleni kwa shemeji yako
 
Dola Ina nguvu sana, Iliweza kumbadilishia Jina Mh Mbowe na kumpa JINA la MBOWE Gaidi.

Dola ilimkamata akakaa JELA miezi 8 na ikauaminisha umma kuwa ubaya huo alitenda MWENDAZAKE. Na umma ukaamini na kushukuru alipotoka.
Iyo ndo nguvu ya DOLA imewafanya wasomi wanaishia kusoma magazeti tu duuuh dola bhana
 
Kuna mambo unachanganya aidha kwa makusudi,kuifurahisha nafsi yako au ni kwa kutojua.Dola yaweza kuwepo na ipo hasa.Kiñachotumika ni akili pana,kutoka ndani ya maboksi,kuipenda amani,maelewano na maridhiano,hekima na kuongozwa na roho safi.Tofautisha mambo.
Pole lazima uwe na akili kubwa kuelewa sio izo za kukalili
 
Back
Top Bottom