Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

Kwani najisumbua sasa na ukubwa wenyewe….mi naishi tu….sitaki kujipa stress za kipumbavu.Katika maisha haya ukishajichagua…walaaa …huumii na chochote.

Una pesa kama hauna…hauna kama umechanganyikiwa🤓life goes on😎
 
Usisahau kwamba tuna kuwa
Watoto , wakubwa/ vijana and mwishowe uzee

Uzee ndipo tunapokuwa hatuna nguvu za kutosha
 
Back
Top Bottom