Sikubali kabisa

maisha ni kupanda na kushuka i pray for better 2013
 
Smile happy New year.
Mungu hawezi kukuacha.
 
Last edited by a moderator:
hahaha salama mkuu na nimerudi na Roho yangu....unajua bado sijasomeka vizuri kabisa hii mitambo leo sijui izimiwe wapi ila nahisi nitakuwa chachi!

mkuu huo ndio mwanzo mzuri tuanze mwaka kwa kumkumbuka Mola atujalie mwaka huu nao uishe salama
 
Smile huo ni uamuzi mzuri sana... Mie mwenyewe nimeamua kuweka shida chini ,kutupa mikono juu na kubanjuka kwa kwenda mbele..

No more tears.....
 
Last edited by a moderator:

Mungu atakusimamia katik hilo Smile, nasi tuko nyuma yako kukuombea.
BAK naomba dedication kwa ajili ya Smile kumtia nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Smile huo ni uamuzi mzuri sana... Mie mwenyewe nimeamua kuweka shida chini ,kutupa mikono juu na kubanjuka kwa kwenda mbele..

No more tears.....

Yaani marejesho km ulikuwa na mimi. No more tears no more pain. Full kujipa raha kila nafasi inapopatikana.

Mambo ya kuupa moyo wangu shida full stooop. Smile tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya Smile.. Sahau yaliyopita hata kama yanaumiza sana.
 
Last edited by a moderator:

hilo moja nshalijua , endelea kuamni katika yule awezayo yote, sema amina
 
Funga huzuni, fungua furaha. Mathayo 16:19
Mungu akupe furaha yako mwaka huu kwa kuwa ni mwaka wa kicheko! Smile rejoice in 2013
 
Last edited by a moderator:
Ninakutakia Heri na Baraka za 2013 na mingine yote ijayo. Moyo wako ujae furaha, Smile s daima, Huzuni mwiko.
 
Last edited by a moderator:
Thank u.. Good spirit...
 
Hii topic yako imenifanya nikatafakari kitu sana sasa hivi, haya maisha yana changamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…