Sikubali kabisa

walinikopesha ama walinipa bila kushurutishwa wenyewe kwa hiari zao?

Uzuri Wake Mimi Ingawa Sina Kitu Lakini Sidaiwi Wala Kumdai Mtu...Hivyo Nazisaka Ili Wakopaji Wanitafute Nami Mwaka 2014 Niwapate Wa Kuwasamehe Madeni
 
muda wote napenda kujiweka ktk hali ya furaha na amani ht km niko na stress huwa najitahidi atleast kuwa 50/50 then narudia ktk hali ya kawaida.
 
Pole kwa matatizo yaliyokusibu. Jipe moyo.
 
I alwayz pry for u Smile,thinx gonna workout
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, you got jokes ma. BET's Comic View ain't nothing on you.

But let the gullible knock themselves out.
uliniaidi blackbery mkuu !ila sitaki tena.. niambie mabebs wa uk wanasemaje lakini..nimekumiss kweli kule, safarini tanga niliwakilisha wabeba box vizuri muulize marejesho atakupa feedback ungekuwepo na wewe ungeturusha kule mabebs wa jf !
 
Last edited by a moderator:
nipo full upako mkuu unaitaji maombi kwani?

Sihitaji maombi. Ila nakudai na wewe unajua kabisa ila unanipotezea! Poa. haina noma! Haaaa haaaa

Mimi nilidhani MABEBS WA UKWEEEE . . . . HUWA HAWAZIKI WADAU - by Lemutuz!
 
heri ya mwaka mpya 2013 Smile nimeona furaha ya kweli uliyonayo pale Tanga naamini itaendea mwenyezi mungu akuzidishi furaha hiyo. machungu tunayokumbana nayo mungu ataonyesha mlango wa kutokea.
 
Last edited by a moderator:
uliniaidi blackbery mkuu !ila sitaki tena.. niambie mabebs wa uk wanasemaje lakini..nimekumiss kweli kule, safarini tanga niliwakilisha wabeba box vizuri muulize marejesho atakupa feedback ungekuwepo na wewe ungeturusha kule mabebs wa jf !

You are a trip!

Kwa kweli sijui mabebs wa UK wanasemaje. Ningekuwa naishi huko labda ningejua.

Hiyo safari ya Tanga nimejutia kuikosa. Nina kama $30K na sijui hata nizitumieje. Ningeenda nanyi labda ningewapiga na ma shopping spree ya nguvu.

Kwa vile closet yangu inahitaji updating ngoja nikamwage radhi Bergdorf Goodman. I'm going to shut the whole place down ala prince Al-Waleed bin Talal:becky:.
 
Asante sana for your wishes and encouragment, Happy New Year to you too. WISHING YOU A HAPPY 2013.
 
Happy basdei kamanda wangu.

How do you plan to ring in the new year?

Nothing Much. Mpango Mzima ni kuwapa day off wakazi wote wa dunia ili waisherehekee kwa garama zao.

Kama vipi mimi nitakuwa home na MBEBS wa UKWEE my SUPER WIFE!
 
heri ya mwaka mpya 2013 Smile nimeona furaha ya kweli uliyonayo pale Tanga naamini itaendea mwenyezi mungu akuzidishi furaha hiyo. machungu tunayokumbana nayo mungu ataonyesha mlango wa kutokea.
hebu sababisha hayo maphoto dear , wish u all the best wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…