Sikubali kabisa

hazikwepeki lakini wengine tunazipalilia mkuu.

Hakuna mtu anapenda matatizo maishani mwake..but huwezi kuzuia kama imepangwa!
Kama nilivosema kikubwa ni kujiandaa tu kwa lolote na kuwa na moyo mgumu!
 
Kweli kabisa Mamito nimeipenda title yako...Sikubali kabisa..Kataa mbinu zozote za awaye yeyote zitakazokufanya uishi kinyume na jina lako Smile.
 
Last edited by a moderator:
keep your beautiful Smile just like your name baby gurl!

Mungu aujaze moyo wako faraja na furaha ya kweli!
 
kweli kabisa mamito nimeipenda title yako...sikubali kabisa..kataa mbinu zozote za awaye yeyote zitakazokufanya uishi kinyume na jina lako smile.
viniwache nipumuwe
 
ahaaaa mimi huwa sisemi uongo mkuu namshukuru Mungu nikiamua ni nimeamua !hapa nachekelea tu liwalo na liwe

I like that, Mungu azidi kukuimarisha.

Mithali 17:22 Moyo uliochangamka ni dawa nzuri; Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa. (A joyful heart is good medicine, But a broken spirit dries up the bones.)

Keep up the smile.
 
Good; lkn ktk kutafuta kwako Smile usicoz machozi kwa wengine!

Furaha ya kweli hupatikana kwenye kutoa kusiko tegemea kurudishiwa!

Furaha ya kweli hupatikana pale unaposamehe na kusahau!

Furaha ya kweli hupatikana ktk Kristu Yesu!
 
Last edited by a moderator:
Smile, nami nakuombea uwe na sababu milioni za kutabasamu licha ya kumi zitakazokuhuzunisha.
Remember, life is how u take it!!!

Mob love..see u next year...:A S 11:
 
Last edited by a moderator:
Good; lkn ktk kutafuta kwako Smile usicoz machozi kwa wengine!

Furaha ya kweli hupatikana kwenye kutoa kusiko tegemea kurudishiwa!

Furaha ya kweli hupatikana pale unaposamehe na kusahau!

Furaha ya kweli hupatikana ktk Kristu Yesu!
ni kweli kabisa sis , huwezi kuwa na furaha ya kweli kama unasababishia wengine machozi
Naamini katika Bwana wetu Yesu kristo pale msalabani tabasamu langu liliandaliwa pale nimeamua kulichukua sasa
 
ameeen kaka hivi ile ligi yako umepata mshindi tayari au bado unasajili?
Smile 2013

Ha ha...mos mos Smile
Mshindi bado...
Inabidi nikuone unishauri zaidi..au unaonaje?
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Mwaka Mpya Smile pole kwa misukosuko ya 2012
 
Last edited by a moderator:
teh teh hata wewe unashindwa ?
mimi nitakushauri vibaya? unaweza kumkabidhi fisi bucha kweli

Ha ha haaa...
acha tu smile..
ila kwa msaada wa hii mood yako ya mwaka mpya hakyanani itawezekana..lol
 
Yes Smile u have to smile kama lilivyo jina lako zuri.

Pole kwa yaliyokusibu, asante kwa new year wishes.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

The problem we don't know the colour of tomorrow, all what we know is now and past.

The most important thing ni kuchange attitude yetu jinsi ya kupambana na matatizo!

All the best and happy new year!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…