Sikubali kabisa

Sikubali kabisa

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!

Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.

Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.

Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.

Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.

Naamini Mungu ni mwema atatubariki.

Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya
 
Pokea langu smile Smile...Heri ya mwaka mpya 2013.
 
Last edited by a moderator:
Smile hukubali nini???
 
Last edited by a moderator:
Amen, that the way to greatness, taking the positives and moving fwd boldly. Mungu akubariki uzidi kusonga mbele. ujumbe wako umenigusa sana kipekee. pole sana.
 
Sawa sawa tu ta smile tu tukipata vilivyoko ndani ya Smile
 
Last edited by a moderator:
amen, that the way to greatness, taking the positives and moving fwd boldly. Mungu akubariki uzidi kusonga mbele. Ujumbe wako umenigusa sana kipekee. pole sana.
nawe ubarikiwe sana mkuu.. Hapo mwisho naomba udelete muda wake umeisha
 
keep on smiling......mie kwa mwaka huu unaoishia MUNGU amenitendea mengi mazuri kwakweli, nilianza mwaka kwa machozi ila nashukuru naumaliza kwa Smile....nimepata mengi yale niliyomwomba....ingawa moja bado bt naamini 2013 atanipa....tushukuru kwa yote!!!
 
Last edited by a moderator:
::
Kweli Smile is better than crying na to reach happiness unahitaji kutembea MILE nyingi,,that's why ukaziona si kitu na ukawa SI-MILE
=
 
nawe ubarikiwe sana mkuu.. Hapo mwisho naomba udelete muda wake umeisha

Asante, usijali dear, gone are those days. ningekua mwalimu ningesema nimeandika ivyo nione kama utaikubali wakti umeshaitupa kapuni. chezeya waalimu wewe? LoL
 
keep on smiling......mie kwa mwaka huu unaoishia MUNGU amenitendea mengi mazuri kwakweli, nilianza mwaka kwa machozi ila nashukuru naumaliza kwa Smile....nimepata mengi yale niliyomwomba....ingawa moja bado bt naamini 2013 atanipa....tushukuru kwa yote!!!
MBONA HUKUJA TANGA DEAR? MISS U A LOT OVER THERE U cacico &Lara1
 
Last edited by a moderator:
Asante, usijali dear, gone are those days. ningekua mwalimu ningesema nimeandika ivyo nione kama utaikubali wakti umeshaitupa kapuni. chezeya waalimu wewe? LoL
ahaaaa mimi huwa sisemi uongo mkuu namshukuru Mungu nikiamua ni nimeamua !hapa nachekelea tu liwalo na liwe
 
::
Kweli smile is better than crying na to reach happiness unahitaji kutembea mile nyingi,,that's why ukaziona si kitu na ukawa si-mile
=
yap maisha sio muchezo wanasema kua uyaone ...tumekua tumeyaona haya sasa tujinyonge tufe au ndo hivo tupigane nayo
 
Back
Top Bottom