yesu anarudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. goldcall

    JamiiForums Tanzania Kama ulisikia Yesu anarudi na hakurudi, basi ndiyo anarudi sasa

    Kichwa cha habari kipo katika kukuamsha wewe ndugu, rafiki, jamaa, mzee, kuwa Yesu yupo malangoni kuja kulichukuwa kanisa, Tupo karibu sana, na ile dhiki kuu, mpinga Kristo anasafishiwa njia sasa, dalili iliyo kuu ni hii! kuwapumbaza watu makanisani kupitia harufu mbaya inayo chafua uwepo wa...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo yafuatayo: 1. Watu wengi watakuja kwa Jina lake wakisema wao ni Kristo. Katika nchi mbalimbali...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

    Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi. Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
  4. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote

    Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  6. Ahead

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo anarudi

    Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na...
Back
Top Bottom