Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,980
- Thread starter
- #41
Shida yangu ni Bashe anajipendekeza kwa wapinzani na kukidhoofisha chama chetu. Bashe ni msaliti wa chama.We shida yako jimbo siyo?
Shida yangu ni Bashe anajipendekeza kwa wapinzani na kukidhoofisha chama chetu. Bashe ni msaliti wa chama.We shida yako jimbo siyo?
Ukweli upi anaousema Bashe? Hivi ni nani asiyejua kuwa huyu Bashe ni SWAHIBA wa Lowassa? Anayoongea bungeni hayana faida kwa chama wala serikali, bali yanafaida kwa wapinzani. Huyu ni msaliti wa chama chetu.Nchi yetu imeelemewa sana na mzigo wa watu wajinga kweli. Kwanini watu hawataki ukweli usemwe hadharani kama kweli wana nia ya dhati kuifikisha nchi hii mahali walipoahidi?
Yaani tuwe wazalendo kwenye mambo yanayohatarisha umoja wetu uliojengwa kwa gharama kubwa sana kwasababu ya mapenzi ya vyama?
Hivi nyinyi ccm mmerogwa na nani? Sio nyie kwenye ahadi za chama chenu mnatakiwa kusema ukweli daima unafiki uwe mwiki kwenu?
Kama mnawataka watu wasiseme hadharani kwa maslahi ya chama, je mtapata wapi ujasiri wa juwaomba wananchi wa kawaida kufichua maovu wakati hamuamini juu ya ukweli ila unafiki.
Bashe atishiwe maisha ila mumtake aseme hajatishiwa?
I completely agree with you, Bashe is a mole and he has to be removed. Jimbo la Nzega ni ccm kindakindakiUkweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
Nchi kwanza chama baadae.
Nchi yetu imeelemewa sana na mzigo wa watu wajinga kweli. Kwanini watu hawataki ukweli usemwe hadharani kama kweli wana nia ya dhati kuifikisha nchi hii mahali walipoahidi?
Yaani tuwe wazalendo kwenye mambo yanayohatarisha umoja wetu uliojengwa kwa gharama kubwa sana kwasababu ya mapenzi ya vyama?
Hivi nyinyi ccm mmerogwa na nani? Sio nyie kwenye ahadi za chama chenu mnatakiwa kusema ukweli daima unafiki uwe mwiki kwenu?
Kama mnawataka watu wasiseme hadharani kwa maslahi ya chama, je mtapata wapi ujasiri wa juwaomba wananchi wa kawaida kufichua maovu wakati hamuamini juu ya ukweli ila unafiki.
Bashe atishiwe maisha ila mumtake aseme hajatishiwa?
Haijalishi kupoteza jimbo. Hivi madaktari wakikuambia mkono wako una kansa na ili hiyo kansa isisambae mwilini ni lazima huo mkono ukatwe. Wewe utaamua nini?Huo ushabiki wako utaikosesha CCM kiti kimoja ukija uchaguzi mdogo. Bashe inaonekana kashindwa kupata support katika mikutano yao ya ndani maana huko wamejaa wanafiki kama wewe. Hivyo kaona bora awashitaki kwetu wanatanzania maana yeye ni mzalendo. Waziri akiona hakuabaliani na mienendo ya serikali na sababu alikula kiapo cha collective responsibility akiwa makini anachukua uamuzi wa kuilipua serikali na kujiuzulu ama anaachia ngazi bila kuwalipua. CCM siyo serikali ni chama kilichoshinda uchaguzi na kuwa na madaraka serikalini.
Lowasa si alikuwa waziri mkuu kuoitia ccm? Unaonaje ukimjumlisha Kikwete kwenye kundi la wanafiki kwani yeye alikuwa swahiba wake mkuu kuliko hata huyo kidagaa Bashe.Ukweli upi anaousema Bashe? Hivi ni nani asiyejua kuwa huyu Bashe ni SWAHIBA wa Lowassa? Anayoongea bungeni hayana faida kwa chama wala serikali, bali yanafaida kwa wapinzani. Huyu ni msaliti wa chama chetu.
Umeongea ukweli kabisaUkweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
Utasubiri sana Serikali ichukue hatua kwangu.nashauri serikali na jamii ichukue hatua kwako... unaoneka unajua kitu sasa hata ishu za utekaji unaweza ukawa unafahamu wewe...!!!
Bashe anajipendekeza kwa wapinzani na hii haikubaliki hata kidogo lazima tumng'oe tu.Anaiponda serikali dhalimu ya CCM. Full stop. Mwizi haachi kuwa mwizi hata kama baba yako!
Kama anaweza siasa si aende huko CHADEMA kwa maswahiba wake. Atuachie chama chetu bhana.Mzalendo ni yule anayelinda uonevu sasa Bashe anasema wanyonge ni kweli hastahili kuwepo kwenye Chama Cha Mauaji.
Unamfungulia kesi nani kama polisi hao ndio wametumika kukutisha/kukunyamazisha? Polisi wamepewa namba ngapi na mrejesho ni upi?Ukweli ni kuwataarifu polisi na kufungua jalada la kesi halafu unasubiri uchunguzi ukamilike kwamba ni namba zipi zilitumika kukutishia maisha kupita ujumbe wa maandishi.
Na wakati uchunguzi ukiendelea taratibu ni kwamba unatakiwa usiingilie kwa kuzungumzia jambo hilo maana unakuwa unaingilia ushahidi.
Ila ukiwa bungeni unakuwa unaendelea na mijdala ya maendeleo kama kawaida.
Ni mwaka wa pili unakaribia kukatika tangu serkali ya awamu ya tano iingie madarakani, kuna baadhi ya wabunge wanapoteza muda kwa masuala ya kuikwamisha serikali katika kutekeleza majukumu yake.
Katika kumvua mwanachama uanachama wake, MWENYEKITI ndiye mwenye kauli ya mwisho.Yaani chama kimekuwa cha Magufuli..? Wewe kama ni mwanachama na unaona mwenendo wa mwanachama mwenzio mmoja sio, ni mpaka umuombe mwenyekiti wa chama amchukulie hatua..? Hamna sehemu ya kupeleka malalamiko yako hayo..? Ina maana wanachama woote wa sisiem, mmekabidhi akili zenu mwenyekiti wenu, chochote atakachoamua kwenu ni makofi..?
Mnaipeleka nchi shimoni kwa mtindo huu..