Mpuuzi wewe usiwajaze watu woga wa kiliberaliUkweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
Wana siasa wanajua sana kucheza na akili za wapiga kura. Juma Nkamia aliwahi kusema siongei na mbwa isipokuwa mwenye mbwa.....Huenda ukawa unamuona si mfia chama, lkn sie tunamuona ni mzalendo kwa nchi yake.
Nina haki na uhuru wa kuandika maoni yangu kama nitakavyo. Whether you think I am a fool or not, to me, BASHE is traitor!Who and what are you?? Foolish!
Kweli mmenyweshwa maji ya bendera kama wenzeu washabiki wa Lowasa. Ni hatari kweli kwa hii nchi kuendelea na tabia kama hizi. Mtu akisema ukweli anaitwa msaliti, tuliyaona haya kwa Zitto Kabwe sasa yamerudi kwa Bashe na na CCM. Kweli tuna njia ndefuHaijalishi kupoteza jimbo. Hivi madaktari wakikuambia mkono wako una kansa na ili hiyo kansa isisambae mwilini ni lazima huo mkono ukatwe. Wewe utaamua nini?
Sisi kama wanaCCM tuko tayari kuindoa kansa BASHE, hata kama tutapoteza jimbo.
Katika kumvua mwanachama uanachama wake, MWENYEKITI ndiye mwenye kauli ya mwisho.
Unamfungulia kesi nani kama polisi hao ndio wametumika kukutisha/kukunyamazisha? Polisi wamepewa namba ngapi na mrejesho ni upi?
Na ni wapi pameandikwa polisi wakifanya uchunguzi mtu mwingine haruhusiwi kuzungumza au unamaanisha jambo likiwa mahakamani?
Kwako wewe maendeleo yanakwamishwa na wabunge kusema kuna hatari ya utekaji usiokuwa wa kawaida unaendelea? Na mbunge mzuri ni yule anayesifia serikali tu ika akikosoa anapoteza muda.
Hakuna mtu wa kuikwamisha serikali kama kweli imeamua kwenda mbele, wabunge hawa wameshiriki kupitisha bajeti zote bila kuzipinga japo hazitekelezeki. Sasa nini kimeikwamisha serikali kwenda mbele?
BASHE NI MSALITI NDANI CCM. THE EARLIER THEY KICK HIM OUT THE BETTER !Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
JamaniMzalendo ni yule anayelinda uonevu sasa Bashe anasema wanyonge ni kweli hastahili kuwepo kwenye Chama Cha Mauaji.
Hatumkatazi Bashe kukikosoa chama, lakini anapaswa kupima kile anachokiongea nini impact yake? Yeye kama mbunge amekuwa akijikita zaidi sana kwa wapinzani jambo ambalo siyo zuri kwa mustakabali wa chama chetu.Kweli mmenyweshwa maji ya bendera kama wenzeu washabiki wa Lowasa. Ni hatari kweli kwa hii nchi kuendelea na tabia kama hizi. Mtu akisema ukweli anaitwa msaliti, tuliyaona haya kwa Zitto Kabwe sasa yamerudi kwa Bashe na na CCM. Kweli tuna njia ndefu