Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

Huyu ni UVCCM kabisa, huwa wana mawazo ya kijinga jinga, nipo CCM yaani hawa Vijana ukionekana unashauri haki wanaanzishs fitina. Macho yote yamewatoka kusubiri KUTEULIWA kuwa DED, DC na RC. Waoneeni huruma watz. Tz siyo ya CCM, BALI NI YA WATZ.... MImi nipo CCM LAKINI UJINGA WA HAWA WATU HUWA SIUVUMILII HATA KIDOGO
 
Mzalendo ni yule anayelinda uonevu sasa Bashe anasema wanyonge ni kweli hastahili kuwepo kwenye Chama Cha Mauaji.
Ccm n waongo kwaio ukiongea ukweli unaitwa msaliti kwa sababu tu wewe unasema ukweli
 
Bashe kwasasa anapaswa kurejea nyumbani mogadishu kwakuwa hali ya amani imetengamaa!
Akatae kwake ni mtumwa!!

Sikujibu ili tubishane, kwani wahenga walisema ukibishana NA mkichaa watu hawataweza kumitafautisha.

Kwanza napenda ujue Somalia ni taifa NA sio kabila. Pili katika ulimwengu wa leo kuna watu wengi wanao badilisha uraia, NA hata hapa TZ kuna sheria inayosema ukiishi Zaabi ya miaka mitano unaweza kuomba Uraia NA ukapewa ( NATURALIZATION ), na mtu aliyepewa uraia akizaa watoto basi hivyo vizazi vyake automatically wanakuwa Raia.

Bashe ametimiza masharti yote ya kuwa Raia wa Tanzania NA hakuna wa kuweza kumyanganya uraia wake period.

JEE pia Tunaweza kusema Salim Ahmed Salim aende Kwao Oman au Yemen, JEE wazanzibari na wapemba lukuki wenye asili ya kiarabu waende kwao.

Bashe amekali kiti cha ubunge tuu, JEE NA hao matajiri wakubwa wa kihindi, Kiarabu nk, nao tuwanyanganye mali zao NA waende makwao, maana hawakuja nazo bali wamezichuma hapa hapa kwa juhudi zao.
 
Huwez kumwita Bashe msaliti wakati anasimamia utaifa. au CCM ni chama waficha uovu. ?
 
Kutekwa watu ni uvumi? Unaishi wapi wewe mpaka hujui nini kinaendelea? Serikali hii imevunja rekodi ya kukanusha vitu vidogodogo tena hata vile vinavyoibuka facebook sasa unaitaka ipuuzie jambo nyeti kama hilo? Yule waziri jana alifata nini pale kama taarifa hazina ukweli?

Sasa unadhani serikali inaweza kujibu mambo ya facebook kweli?
 
Ningependa nianishiwe makosa yanayoonesha utovu wa nidhamu kwanza kwa nchi yake hayo ya kwenye chama hayana tija kwangu.
 
Sasa unadhani serikali inaweza kujibu mambo ya facebook kweli?
Haiwezi au ndio ilikuwa kazi yake kujibu? Unajua kusoma vizuri lakini na kuelewa au unajua kusoma tu ila hujui kilichomaanishwa?
Serikali ilikuwa ikikanusha taarifa za mitandaoni pindi zinapoibuka tu sasa jambo nyeti kama hili tunategemea waje na kauli nzito iwe fundisho. Tumemsikia Rais akiwaonya watumiaji wa mitandao maana yake na yeye ni mdau yaani anapitia huko kujionea yanayoendelea.
 
Zama za kizamani za kukaa kimya hata kama unaminywa just because eti upo CCM zimeshapitwa ba wakati, chama makini lazima kikubali kukosolewa tena hata ikibidi hadharani ili kijisahihishe. Chama imara hakiogopi kamwe kukosolewa kamwe. Sidhani kumtimua kwenye chama is the only option you have.
 
Mleta mada umeongea ki-bogus sana na kudhihirisha utupu wa kichwani kwako.bosi wenu alivyokuwa anasema anahitaji viongozi wazalendo kwako wewe ulifikiri uzalendo ni kukumbatia maovu at all cost na kusifia mabaya despite of how much it will take?anyways hata aliyetaka viongozi wazalendo hakumaanisha aliyokuwa anayasema bali alikuwa anafurahisha umati for if angemaanisha then hata nape asingefukuzwa uwaziri.bashe is right na anachokipigania is right too despite ya matokeo ya speech zake kwenye chama chenu.mnataka muwadanganye watz wasiojielewa kwa unafiki wa viongozi wa chama chako since ur party imejengeka kwenye unafiki,na acha aendelee kuwalipua hivyo hivyo,na leo kamwambia george aache unafiki,nakushauri na weww uache unafiki
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Huyu ni mzalendo kwa nchi yake na mfia chama kuliko wewe bobonya.
 
Vipi na Nkamia Naye afukuzwe?

Je Aesh Hillary naye atoswe? Na Ridhiwani Kikwete naye je?

Msukuma Je? Ufalme umefitinika huo.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Bashe aondoke tu ccm. ni mzigo na hana faida yoyote ile - aondoke tu na Nzega tutaendelea kushinda tu
 
Muache aseme kweli. Aliesema nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko c ccm? Iweje atokee msema kweli mseme anasaliti chama
Km wewe ni ccm ndio msaliti mkuu wa wananchi walio wanyonge. Unaonyesha jinsi unavyoweka maslahi ya chama mbele kuliko raia wanaokifanya chama kikawepo
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
Bashe si msifia maovu, bashe simpiga makofi, bashe si msema ndiyo , bashe anatumia akili na fikra zake na si za chama wala mtu, maana amesha ona chama kitadumaza uwezo wake wa fikra kama walivyo dumaa wengine kiakili.
 
Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.

Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.

Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!

Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!

Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).

Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.

Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!

Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.

Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!

By Son of Gamba.
uzalendo siyo kuponda upinzani, ni kusema ukweli kutetea taifa.
Bashe amesema aliteakwa na usalama wa taifa. Je ulitaka akae kimya?
Siasa zilizo asisiwa ba mwalimu nyerere za kupinga ukosoaji wa utawala wake ndiyo unawafanya ccm kuona kuponda upinzani ni uzalendo kwani mwali jk aluwatimua wakina duarado, kolimba, jumbe kwa kupinga utaratibu wake. Ccm mnapaswa kuelewa siasa c vita na mjifunze kujenga hoja.
 
Back
Top Bottom