Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,629
- 19,974
Nimekumbuka Mara yangu ya kwanza kulewa pombe niliona Cha Moto aisee!
Kipindi kile nilikuwa ndo kwanza nimetimiza miaka 18 nikandaa bonge la party nikawaita marafiki zangu wake wanisaidie ku- celebrate birthday yangu.Nilienda kwenye baa nikanunua pombe Kali nikaja nazo kwa ajili ya kujirusha roho nayo nikiwa na mabeshte zangu.
Kwa ushamba wangu uliotukuka,nilianza kubugia bugia pombe kishamba as if nakunywa chai au maji.Baada ya muda mfupi nilianza kuhisi kizungu zungu,kichwa kimekuwa kizito mazima,macho yakawa hayaoni nikahisi nimepofuka mwili unatetema nikisimama sekunde 5 chalii.
Pombe zilinizidi nguvu nikaanza kutapika hovyo hovyo mixer kujikojolea huku nalia kindezi[emoji23]
Niliteseka Sana huo usiku siwezi kuelezea yote yaliyonikumba.Kesho yake nikiamka late Sana mishale ya saa tano asubuhi nikiwa nimechoka Sana na kuwa mnyonge.Nakumbuka ile siku sikuwa na hamu ya kula chochote kwani appetite ya kula ilikuwa imekata haipo kbsa.
Kwa mateso niliyopata ile siku nilijiapia kwamba Hapa nikipona tu walahi sitokuja kurudia huu upuuzi wa kunywa pombe za hivi tena.
Siku hizi nakunywa pombe kistaarabu Sana silewi hovyo hovyo.