Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

Katika tatizo kubwa ambalo linalo wakabili wanawake karibu 80% ni wanawake wenzao na hilo ndilo pengine halina ufumbuzi!

Yani huwa mnajua kupeana sana wasia na mawaidha ya kila aina lakini huwa ni wepesi kusahau na mnayaacha hapo hapo!

Katika jambo ambalo hunishangaza zaidi ni uwezo mlio nao wa kudhalilishana pengine hili ni janga lenu la taifa kama si dunia!

"Ukitaka kumroga mwanamke kirahisi mtafute mwanamke mwenzie"

Sikukuu njema

Haaaa tunakuwaga na semina za wanawake kibao kushauriana na mambo kibao yaani... lakini unakuta mambo kila siku ni yale yale
 
Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..

this is feminism ni mehaibu sana jamii. huku nchi zilioendele...naona bongo inangia na mnifurahia..itafika mahali wanaume wengi watakuwa ka wanawake...mtakosa watu wa kuwaoa..
 
Kiasili mwanamke hawezi kuwa juu ya mwanaume....na hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke mpaka siku ambayo atakapoanza mwanaume atakopoanza kuziona siku zake....na kushika ujauzito......

mkuu hawa wanajaribu kupreach feminisim...ambayo ni janga kbwa sana kwa jamii
 
this is feminism ni mehaibu sana jamii. huku nchi zilioendele...naona bongo inangia na mnifurahia..itafika mahali wanaume wengi watakuwa ka wanawake...mtakosa watu wa kuwaoa..

unamaanisha nini unavyosema wanaume watakuwa kama wanawake
 
unamaanisha nini unavyosema wanaume watakuwa kama wanawake
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamke
 
Kwa hiyo viongozi ndo wanaruhusiwa kubaka wake zao?
 
Kiasili mwanamke hawezi kuwa juu ya mwanaume....na hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke mpaka siku ambayo atakapoanza mwanaume atakopoanza kuziona siku zake....na kushika ujauzito......

HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Nacheka utfikiri mazuri vile. THIS IS HILARIOUS!
 
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamke

Wanaume mko obsessed with struggle for power. Yani jiu linataka kuwa juu ya mkewe, juu wanae, juu wadogo zake, juu ya majirani juu ya kila kitu. Hayo sio maisha. Hamna kitu kizuri kama kuwapa nafasi watu wengine wachangie maisha yako, sio kuwa control freak na kutaka kila saa u run the show.
 
this is feminism ni mehaibu sana jamii. huku nchi zilioendele...naona bongo inangia na mnifurahia..itafika mahali wanaume wengi watakuwa ka wanawake...mtakosa watu wa kuwaoa..

Sasa ukipata mtu akakuo ndo inakuwa nini sasa? ACHIEVEMENT??????????? Hell no! Ni just tu umepata mtu wa kushea nae maisha basi THE REST REMAINS THE SAME!!!!!!!
 
Wanaume mko obsessed with struggle for power. Yani jiu linataka kuwa juu ya mkewe, juu wanae, juu wadogo zake, juu ya majirani juu ya kila kitu. Hayo sio maisha. Hamna kitu kizuri kama kuwapa nafasi watu wengine wachangie maisha yako, sio kuwa control freak na kutaka kila saa u run the show.
Mwanamke hana sifa ya kuwa kiongozi sio tu taifa bali hata kwenye ngazi ya familia......mwanaume ni kiongozi na atabaki kuwa kiongozi wa mwanamke na viumbe vyote hapa duniani......
 
Haaaa tunakuwaga na semina za wanawake kibao kushauriana na mambo kibao yaani... lakini unakuta mambo kila siku ni yale yale
Teh Teh kuna mtu alisha niaga kuwa atakwenda kwenye semina ya wadada..nilimuuliza hivi hizo semina huwa mnafundishwa kutosameana? Nilimwambia unapoteza muda kwenda kumuomba Allah na kushiriki hizo semina kama umeshindwa kumsamehe mtu ulikuwa unamuita rafiki yako kipenzi....kwa mikwaruzano isiyo na msingi.Unaweza ukafikiri mtu ameacha kuongea na mtu aliye kuwa rafiki yake kipenzi zaidi ya miaka ishirini sasa ni mwaka hawaongei ...

Unajua laiti mgefahamu mnatakiwa kutumia muda mwingi kufunzana jinsi ya kuvumiliana wenyewe kwa wenyewe kuliko kufunzana jinsi ya kuhandle wanaume!

Wanawake mnauwezo mkubwa wa kuvumilia wanaume lakini kamwe hawezi kumvumilia mwanamke mwenzie..tena akiwa ana fahamu siri zake kidogo basi hiyo ni point of weakness...

Katika vitu vinavyo ni dissapoint kwa wanawake walio wengi ni kukosa uvumilivu kwa wanawake wenzao na uwezo mkubwa na ufundi mkubwa walio nao jinsi ya kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe!

Mwanzo nilikuwa sielewi kwanini wanawake walio wengi husema marafiki zao ni wanaume!

Wanawake mlio wengi mnaamini suluhu ya matatizo baini yenu ni kusababishiana maumivu na sio kukaa pamoja na kuyazungumza.

Kuna muda mwingine huwa nashangaa unaweza kuta mwanamke ametukanwa na mwanaume lakini aka mpuuza kabisa na kumsamehe lakini sasa akitukanwa na mwanamke mwenzie..aisee lazima ajute kumfahamu kabisa na kinacho fata ni kudhalilishana na kuvuana nguo!

Wanawake mnajua sana kutunza siri za wanaume na kuwavumilia hata kama wanapitiliza..ni mara chache sasa utakuta mwanamke amemdhalilisha mwanaume hata kama amemkwaza vipi!

Mimi nafikiri mge hamasishana kuacha kudhalilisha na kujifunza kuvumiliana na kupendana kutoka moyoni si mdomoni ..nyie wengi wenu mnachojua ni kuitana baby za mdomoni lakini nyingi si za kweli..ni unafiki mkubwa kumuita mwenzie baby;sweet,best wakati huna uwezo wa kumlindia utu wake,kumvumilia,kumfichia siri zake!

Mimi naamini mabadiliko yanatakiwa kuanzia kwenu wenyewe..
 
Totally wrong.

Hiyo unayoongelea wewe ni "hongo".

Faizafoxy wee unatakaje dada yangu?

Shule mnaenda,tena mnafaulu kweli kweli zaidi ya wanaume,biashara mnafanya,makazini mnaenda na mnakua mabosi,mali mnazo,magari,nyumba,watoto,nk....

Mnataka nini zaidiii?Sijawaelewa aisee....

Tanzania hakuna mwanamke anaonewa kama mnavyotaka kutuaminisha....kama ni kwenye familia,pia kuna wanaume wanaonewa...

Ninachoona,mnataka jinsia ya kiume labda..kila kitu mnapata,majungu mengine yanatoka wapi?ukiwaambia alinyimwa nini,hana jibu....infact mpo kwenye denial na jinsia zenu,ukiona mwanaume basi unaona kuna kitu unanyimwa,wakati si kweli kwa zama hizi
 
I hate to tale on these people lakini THEIR GREATEST WEAPON IS WEAPON IS THE MIND! They play with your mind. Anakuprofile tu, what is your weakness. Kama unataka Romeo n Julliet story atakuwa Romeo, unataka ndoa atajifanya anatafta mke, unapenda company atajifanya mtu wa company. WHAT EVER YOU WANT THEY DELIVER BEYOND YOUR IMIGINATION.

Sasa it takes only the msrtest kuvuka hivi vigingi. TO THEM IT IS LIKE A GAME! To the women it is their life, emotions,heart at stake.

Haya unayosemea ni maudhi yanayotokea kwenye mahusiano,sio fursa za kijamii za kielimu,kikazi,kibiashara,kiuongozi,nk

Sasa,kimahusiano ni mambo binafsi ambapo mtu na mtu wanajua jinsi ya ku-treatiana wenyewe kwa utashi wao,na kwenye mahusiano jinsia zote zinaoneana,sio wanawake tu

Na ujienda mbali zaidi,hata ukisema ni wanaume tu ndio waonevu si kweli,hata mahusiano ya jinsia moja ya kike kwa kike ndio mbaya zaidi na zinalast kwa muda mfupi zaidi...

Hua wanaume tumezoea kutupiwa lawama zooote,hatuna neno,tumezoea,wanawake ni holy,hua hawanaga makosa!!hahahaaa
 
Faizafoxy wee unatakaje dada yangu?

Shule mnaenda,tena mnafaulu kweli kweli zaidi ya wanaume,biashara mnafanya,makazini mnaenda na mnakua mabosi,mali mnazo,magari,nyumba,watoto,nk....

Mnataka nini zaidiii?Sijawaelewa aisee....

Tanzania hakuna mwanamke anaonewa kama mnavyotaka kutuaminisha....kama ni kwenye familia,pia kuna wanaume wanaonewa...

Ninachoona,mnataka jinsia ya kiume labda..kila kitu mnapata,majungu mengine yanatoka wapi?ukiwaambia alinyimwa nini,hana jibu....infact mpo kwenye denial na jinsia zenu,ukiona mwanaume basi unaona kuna kitu unanyimwa,wakati si kweli kwa zama hizi

Huo ndiyo ukweli tunaoutaka ueleweke, si kudanganyana.
 
kitendo cha kutolewa mahari hata kama ni pipi kinammiliksha mwanamke kwa mwanaume!lkn pia maumbile yanafanya muwe chini
 
mwanamke atapata haki pale tu atakapo kaa sawasawa kwenye nafasi yake kama mwanamke tft na hapo.mtatumika sana.
 
"ukitaka kumtumikisha mtu mpe uhuru usio na mipaka"pole sana kwa kutaka utumwa mkizani mnadai haki.ATthe end nature rul
 
Back
Top Bottom