Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

zamani zipi ambazo elimu haikuwapo!acha kukariri.elimu sio lazima ya makaratasi kama uliyonayo.
 
Teh Teh kuna mtu alisha niaga kuwa atakwenda kwenye semina ya wadada..nilimuuliza hivi hizo semina huwa mnafundishwa kutosameana? Nilimwambia unapoteza muda kwenda kumuomba Allah na kushiriki hizo semina kama umeshindwa kumsamehe mtu ulikuwa unamuita rafiki yako kipenzi....kwa mikwaruzano isiyo na msingi.Unaweza ukafikiri mtu ameacha kuongea na mtu aliye kuwa rafiki yake kipenzi zaidi ya miaka ishirini sasa ni mwaka hawaongei ...

Unajua laiti mgefahamu mnatakiwa kutumia muda mwingi kufunzana jinsi ya kuvumiliana wenyewe kwa wenyewe kuliko kufunzana jinsi ya kuhandle wanaume!

Wanawake mnauwezo mkubwa wa kuvumilia wanaume lakini kamwe hawezi kumvumilia mwanamke mwenzie..tena akiwa ana fahamu siri zake kidogo basi hiyo ni point of weakness...

Katika vitu vinavyo ni dissapoint kwa wanawake walio wengi ni kukosa uvumilivu kwa wanawake wenzao na uwezo mkubwa na ufundi mkubwa walio nao jinsi ya kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe!

Mwanzo nilikuwa sielewi kwanini wanawake walio wengi husema marafiki zao ni wanaume!

Wanawake mlio wengi mnaamini suluhu ya matatizo baini yenu ni kusababishiana maumivu na sio kukaa pamoja na kuyazungumza.

Kuna muda mwingine huwa nashangaa unaweza kuta mwanamke ametukanwa na mwanaume lakini aka mpuuza kabisa na kumsamehe lakini sasa akitukanwa na mwanamke mwenzie..aisee lazima ajute kumfahamu kabisa na kinacho fata ni kudhalilishana na kuvuana nguo!

Wanawake mnajua sana kutunza siri za wanaume na kuwavumilia hata kama wanapitiliza..ni mara chache sasa utakuta mwanamke amemdhalilisha mwanaume hata kama amemkwaza vipi!

Mimi nafikiri mge hamasishana kuacha kudhalilisha na kujifunza kuvumiliana na kupendana kutoka moyoni si mdomoni ..nyie wengi wenu mnachojua ni kuitana baby za mdomoni lakini nyingi si za kweli..ni unafiki mkubwa kumuita mwenzie baby;sweet,best wakati huna uwezo wa kumlindia utu wake,kumvumilia,kumfichia siri zake!

Mimi naamini mabadiliko yanatakiwa kuanzia kwenu wenyewe..

bold Hili liko kwa jinsia zote
kuna mambo ambayo mwanamke ukimfanyia mwanaume anakuchukulia sawa tu ila mwanaume mwenzie watazipiga
 
Huo ndiyo ukweli tunaoutaka ueleweke, si kudanganyana.

Ukweli upi huo bi mkubwa?

Kila kitu mnapata,semeni mnataka nini zaidi?

Hamna kitu anapata mtoto wa kiume mtoto wa kike kawekewa stop asipate,hili mnalijua

Labda basi jinsia yetu mnaitaka,badilisheni maumbile yenu kama mnaweza,mna everlasting bitterness na wanaume tu basi kwavile tu wali happen to me men

Mkiulizwa chanzo halisi cha hizo hasira zenu,na lini ulinyanyaswa wewe personally jibu hua hamna

Haya,naskia na urais mnapewa,halafu bado mtaongea tu!
 
Haya unayosemea ni maudhi yanayotokea kwenye mahusiano,sio fursa za kijamii za kielimu,kikazi,kibiashara,kiuongozi,nk

Sasa,kimahusiano ni mambo binafsi ambapo mtu na mtu wanajua jinsi ya ku-treatiana wenyewe kwa utashi wao,na kwenye mahusiano jinsia zote zinaoneana,sio wanawake tu

Na ujienda mbali zaidi,hata ukisema ni wanaume tu ndio waonevu si kweli,hata mahusiano ya jinsia moja ya kike kwa kike ndio mbaya zaidi na zinalast kwa muda mfupi zaidi...

Hua wanaume tumezoea kutupiwa lawama zooote,hatuna neno,tumezoea,wanawake ni holy,hua hawanaga makosa!!hahahaaa

HAPPY NEW YEAR KWANZA! Yale yale ya kisa cha kuku na wenzie. KUONA JAMBO HALIKO SAWA LAKINI HALIKUHUSU. Litakavokuja kukuhusu utashangaa na roho yako.

Kuegemea huu ubinafsi ndo unakuta mwanaume mmoja anaumiza wanawake hat 10.
 
Ukweli upi huo bi mkubwa?

Kila kitu mnapata,semeni mnataka nini zaidi?

Hamna kitu anapata mtoto wa kiume mtoto wa kike kawekewa stop asipate,hili mnalijua

Labda basi jinsia yetu mnaitaka,badilisheni maumbile yenu kama mnaweza,mna everlasting bitterness na wanaume tu basi kwavile tu wali happen to me men

Mkiulizwa chanzo halisi cha hizo hasira zenu,na lini ulinyanyaswa wewe personally jibu hua hamna

Haya,naskia na urais mnapewa,halafu bado mtaongea tu!

Una uhakika kila anachopata mwanaume mwanamke anakipata? Mwanaume akishakutamani ukamnyima hata uwe na ufanisi gani hakupi nafasi. Sio tu kwa sababu ile nafasi huwiwezi but things become PERSONAL kisa ulimnyimaaa. Lakini hawezi kumfanyia hivo mwanaume mwenzie.
 
HAPPY NEW YEAR KWANZA! Yale yale ya kisa cha kuku na wenzie. KUONA JAMBO HALIKO SAWA LAKINI HALIKUHUSU. Litakavokuja kukuhusu utashangaa na roho yako.

Kuegemea huu ubinafsi ndo unakuta mwanaume mmoja anaumiza wanawake hat 10.

Happy Nu Year to u too best....unachosema ni sawa,ila pia kuna wanawake huumiza wanaume hata 10...sema labda frequency hutofautiana...

Kwenye mahusiano ni very subjective,humo mwenye upper hand ana tend kumuonea mwenzie,whether ni mwanaume au mwanamke...

Haya,nataka muniambie vividly,kimfumo katika njia za kimaisha wapi kuna ibara inabagua kabisa eti hiki mwanamke hana haki nacho kwenye Tanzania hii ya leo??!!
 
Una uhakika kila anachopata mwanaume mwanamke anakipata? Mwanaume akishakutamani ukamnyima hata uwe na ufanisi gani hakupi nafasi. Sio tu kwa sababu ile nafasi huwiwezi but things become PERSONAL kisa ulimnyimaaa. Lakini hawezi kumfanyia hivo mwanaume mwenzie.

Hayo yapo,tena kwa jinsia zote,uzuri yanashitakika na kuadhibika,

Nataka unipe evidence kisheria au kimfumo eti mvulana akikutendea kosa lolote hutakiwi kushtaki?Au eti mwanamke aruhusiwi kusoma au kuajiriwa au kumiliki gari au kiwanja au kua Mbunge au rais,wapi wameandika na wapi mwanamke kabaguliwa asigombee?

Kila kitu mtapindisha mtapeleka kwenye mahusiano ambayo ni mambo binafsi,makubaliano ya hiari na yakikushinda hujawekewa gundi ukae hapo,hapo sijaona hoja ya kesi...
 
Wanaume mko obsessed with struggle for power. Yani jiu linataka kuwa juu ya mkewe, juu wanae, juu wadogo zake, juu ya majirani juu ya kila kitu. Hayo sio maisha. Hamna kitu kizuri kama kuwapa nafasi watu wengine wachangie maisha yako, sio kuwa control freak na kutaka kila saa u run the show.
Umeangalia kwa upande mmoja(mbaya) lkn ukiangalia kwa upande mzuri utaona nachoongea..hamna familia inakuwa nzuri kama ileambayo mwanamke yupo in control..hapa namaanisha pia hata maisha yake...familia inakuwa stable na hata mwanamke anakuwa na amani..but unfortunately wanawake siku hizi wanataka WEAK men... mwanaume ambae hahoji.. Mfano demu katoka hajui alipoenda walaahoji, demu anapost picha za ajabu ajabu kwenye mitandao(facebook) jamaa lipohalihoji..hata hapa jf kisa kapost lara 1 hata kama kachemka..mijamaa inasifia tu..hao ndo wanaume ambao wanawake siku hizi wanawapenda na matokeo yake tunayaona..jamii ambayo imechanganyikiwa..hakuna upendo hakuna familia watu wapo wapo tu..say no to feminism
 
Sasa ukipata mtu akakuo ndo inakuwa nini sasa? ACHIEVEMENT??????????? Hell no! Ni just tu umepata mtu wa kushea nae maisha basi THE REST REMAINS THE SAME!!!!!!!
Hilo la ndoa ni mada nyingine ndefu mno..ila kuna umuhimu kwa jamiikuwa na wanaume wa ukweli na wanawake wa ukweli na waoane..ili kizazi bora kiendelee ila sasa hivi hasa kwenye nchi zilizoendelea unaona half-backed men(wanaume jina) because of feminisim na half-raised women(wanawake ambao wanaact na kuplay role yawanaume kwenye maisha) kwasababu ya kutaka 50/50.. Ndo maana unakuta jamii feki ambayo inakusababisha hata usitamani kuolewa
 
Hii gender equity and equality bado ni ngumu sana kwa third world countries, na ukweli ni tamaduni, umasikini wa fikra na kipato, wanaueme wa kiTanzania tunatakiwa kumtolea mahali mwanamke wengine hata n'gombe 100 (ladies as the commodity), unatakiwa uandae iyo harusi ya kukata na shoka alafu mwisho wa siku mwanake anataka haki sawa wakati hakuwa tayari kuonyesha iyo demand yake wakati wa hizo pilika hell NOOO( The Triple entente operation will continue). Wakati huo binti wa Kimarekani familia yake inashughulikia mwanzo mpaka mwisho huyo hata akidemand haki sawa anaweza akasound sio hawa wa kwetu.Kingine ni chuki baina yenu wanawake, nakumbuka ule mtanange wa Sophia simba na Shrose watu walivyotoleana matusi na kashfa za haja.....Hawa wanawake wanaosema wanaweza naomba mifano yao kwa majina na achievement zao kwenye ngazi ya kitaifa au hata wilaya tu??Gals the ball is in your coat, the enemies of your success are The Ladies themselves.

WATCH YOUR BACK LADIES,
Pleas lara1 nilisikia kuhusu Triple entete unaweza niPm maana kuna wadada kama wawili inasemekana ni victims wa hao jamaa mpaka wamebadilisha ID na wamekuwa ni "obsever"tu.
 
Kutumia mwili kunakuja kama LEVERAGE ya impossibility mlizoziweka nyie wanaume. Inakuwa mnaacha NO WAY OUT! Either ukubali kustaafu bila cheo au ndo utoe mwili. Mwanamke hawezi kutoa mwili wak isipomlazimuuu. Ndo pale njaa imekubana, una shida ya kazi, boasi nataka mzigo. EITHER WAY YOU LOSE!!!!!!! Ukimpa kakutapeli, ukimnyima njaa itakumaliza sooner or later. That is a challange of being a woman.

Hata men wanakutana na the impossible lakini hawagive up kirahisi. Mwanamke akiwa kwenye matatizo utamsikia tu kila muda kulalama sina hela sina hela. LAkini mtoto wa kiume ngoma inaweza ikawa haiendi vizuri ukajifanya kama kila kitu kipo sawa. Nina experience na hii. Ninapokumbana na tatizo huwa nafikira jinsi ya kulitatua zaidi na si kluanza kusema du sina hela sijui nitafanyeje na hauchukui juhudi zozote kubadilisha hiyo hali zaidi ya kutafuta mteremko kwa papuchi. Sasa wewe unayelalalmika sina hela sina hela ndo unawapa chance wakware kuitumia hiyo weekness kukuchakaza:eyebrows: Na wale wanawake walioamua kujiuza miili yao unataka kuniambia wameshindwa hata kuuza vitumbua? Ni mentality yenu ya kufikiri kwamba papuchi ndo silaha yenu ya mafanikio.
 
Hayo yapo,tena kwa jinsia zote,uzuri yanashitakika na kuadhibika,

Nataka unipe evidence kisheria au kimfumo eti mvulana akikutendea kosa lolote hutakiwi kushtaki?Au eti mwanamke aruhusiwi kusoma au kuajiriwa au kumiliki gari au kiwanja au kua Mbunge au rais,wapi wameandika na wapi mwanamke kabaguliwa asigombee?

Kila kitu mtapindisha mtapeleka kwenye mahusiano ambayo ni mambo binafsi,makubaliano ya hiari na yakikushinda hujawekewa gundi ukae hapo,hapo sijaona hoja ya kesi...

Amgoing to try be simple:

Mimi siongei kwa hasira ila nakubali kuwa sheria imejaribu sana kueka njia zakumlinda mwanamke
kuwepo kwa sheria na miongozo haimaanishi hivi vitu vinafwatwa kikamimilifu or even half
for example:sheria inasema mwanamke apewe elimu kama mwanaume..je watoto wotewa kike wanapata elimu?
familia ngapi vijijini hadi leo mtoto wa kike ataozeshwa na wa kiume ataenda shule?

je ukeketaji kinyume na matakwa ya mkeketwaji inafanyika?je hakuna sheria yakutomuumiza binadamu mwenzio?je ni wanawake wangapi wanakuwa raped everyday?or what about domestic violence(ipo prone to women zaidi)
sitaki kueka huu mjadala in a more personal level ya mahusiano at all so aljust use examples za maisha ya kawaida

Personally nasupport equality in the sense of fairness and justice thats all
usichukue haki ya mtu kwasababu tu ya jinsia yake bali kuwepo na sababu zaidiya jinsia yake
kama kazi imetokea angalia cridentials na what the person has to offer siojinsia yake

je hizi movement zina effect?hell yes
Nimeshawahi kusema,wanawake tunatumia emotions zaidi and thats just nature naMungu alijua ni kwanini kamuumba mwanamke hivyo so lets not use it as aweakness ya kumkandamiza mwanamke
lakini for some reason baadhi ya wanawake wametumia hizi movement kutoa hasirazao ndo hapo utaona mtu anafanya kazi but hataki mume amuulize mda atakaotoka
Baadhi ya wanawake wametumia hizi movement kama njia za kuharibu misingi yamaisha(i mean morals)
Baadhi ya wanawake wametumia movement hizi kama njia ya kukandamiza wanawakewenzao

je imeathiri wanaume?ndio
sasa hivi idadi ya wanaume wanaoweza kusimama kwenye familia ni wachachecompared to zamani yani wanaume wengi wamefanya majukumu yao yanabebwa nawanawake
ni wanaume wachache ambao mama ameweza kuembrace(positively) movement na waowakasimama kama wanaume

its not the movement,ni reaction ya baadhi ya wanawake na kutojua lipi lakuchukua na lipi la kuacha kutoka kwenye midomo ya baadhi ya wamama wanaoongozahizi movement,wale ni binadamu na huwezi jua mambo waliyoyapitia na at timeswanashindwa kuact proffessionally ni kama tu wachungaji na jinsi baadhwanatumia nafasi zao vibaya

swala la wanawake kutumia miili yao kama njia ya kipato
this goes deeper maana hata feminism haikubali mwanamke kutumia mwili wake kamanjia ya kipato
it goes to the roots..familia,child psychology etc

swala la wanawake kuoneana

hili lipo kwa jinsia zote
wapo wnaume wangapi wamemalizana kibiashara,wamedhulumu haki za urithi,wameuandugu zao etc
tofauti kubwa ya wanawake na wanaume ni emotions yani mwanamke akimchukia mtuatataka kila mtu ajue na atafanya kila analoweza kumuonesha
baadhi ya wanaume wako hivi pia

kazini
naelewa how much wale wanawake ambao they want to use their capabilities nahawataki kutumia miili yao kufanikisha malengo yao wanapitia mengi
kuna kutunza familia
kuna mabosi wasiokua na nidhamu
kuna wanawake wenzio watakaokudiscourage
ila you still have to survive

to me equality na equity inamaanisha nina uwezo wa kuachieve anything if i putmy efforts to it
it means i should treat people kama vile napenda kuwa treated na vile ambavyomazingira yatanifanya nisway without
 
Hata men wanakutana na the impossible lakini hawagive up kirahisi. Mwanamke akiwa kwenye matatizo utamsikia tu kila muda kulalama sina hela sina hela. LAkini mtoto wa kiume ngoma inaweza ikawa haiendi vizuri ukajifanya kama kila kitu kipo sawa. Nina experience na hii. Ninapokumbana na tatizo huwa nafikira jinsi ya kulitatua zaidi na si kluanza kusema du sina hela sijui nitafanyeje na hauchukui juhudi zozote kubadilisha hiyo hali zaidi ya kutafuta mteremko kwa papuchi. Sasa wewe unayelalalmika sina hela sina hela ndo unawapa chance wakware kuitumia hiyo weekness kukuchakaza:eyebrows: Na wale wanawake walioamua kujiuza miili yao unataka kuniambia wameshindwa hata kuuza vitumbua? Ni mentality yenu ya kufikiri kwamba papuchi ndo silaha yenu ya mafanikio.

Hili swala la kutumia miili liko deeper than just making a decision
je tuulize kwanini asilimia kubwa ya majambazi ni wnaume?
kwanini wameresort to ujambazi badala ya kupigana kiume?
kila mwanadamu ana njia ya kureact to certain situations
Ni jamii gani tunayoilea leo hii kuweza kutupa the moral stand ya kusema kwanini umefanya hivi?
ni kitu cha kufedhehesha sana mwanao kutumia mwili wake kama silaha au kwenda kuwa jambazi lakini je kama mzazi kama mwanjamii what did you do to change the situation au kusaidia kabla huyu mtu hajafanya maamuzi?

kuna watoto wa kiume wengi tu mtaani wamekuwa vibaka kwasababu mzazi wa kiume alimfukuza mama na yeye kushindwa kuishi na mama wa kambo au alikua anapigwa sana nyumbani au alibakwa na ndugu etc
lakini hapohapo kuna watoto ambao wamekomaa nyumbani yani baba kaoa,mama wa kambo kamtesa ,alikua molested but never gave up
hata watoto wa kike wapo wa hivyo,kuna wale weaklings na kuna wale ambao wana misimamo so lets not paint the whole women community with a shade thats darker than the truth
 
Kiasili mwanamke hawezi kuwa juu ya mwanaume....na hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke mpaka siku ambayo atakapoanza mwanaume atakopoanza kuziona siku zake....na kushika ujauzito......

Kinachomtofautisha mwanamke na mwanaume ni tofauti za ki biolojia tu, vingine vyote havizuii chochote.
 
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamke

Huo u natural aliuweka nani? Hiyo ni falsafa iliyojengwa na wanaume wenyewe ili kuwakandamiza wanawake, ukifanikiwa kumtawala mtu kiakili umemaliza kila kitu.
 
Kinachomtofautisha mwanamke na mwanaume ni tofauti za ki biolojia tu, vingine vyote havizuii chochote.
Hahahahaaaaaaaaaaaaa............hahahaaaaaaaaaa...........hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom