Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

Na haijalishi how ruthless a woman can be hawezi akaplay emotional games. Labda wapo lakini sijaona mpaka sasa.

I hate to tale on these people lakini THEIR GREATEST WEAPON IS WEAPON IS THE MIND! They play with your mind. Anakuprofile tu, what is your weakness. Kama unataka Romeo n Julliet story atakuwa Romeo, unataka ndoa atajifanya anatafta mke, unapenda company atajifanya mtu wa company. WHAT EVER YOU WANT THEY DELIVER BEYOND YOUR IMIGINATION.

Sasa it takes only the msrtest kuvuka hivi vigingi. TO THEM IT IS LIKE A GAME! To the women it is their life, emotions,heart at stake.
 
Lara umejitahidi kujibu lakini bado sanaaaaaaaaaaa! Ukombozi wenu,mfano ili nijue info zako wewe nikimuuliza best yako nazipata zote why?
_kwa nini ni rahisi mwanamke kukutongozea mwanamke mwenzie na sio man kimshawishi man mwenzie achukue dem fulani?
Jirekebisheni hapo kwanza,
 
umeona mkuu? mi mwenyewe nimeshangaa sana yaani

natamani hili lizungumzwe zaidi, wengine zaidi ya salamu na ushauri hakuna lingine.....kumbe kuna watu wengine pengine wakiona pop up ya message wanatetemeka kwa kuhofia kilichoandikwa.....this is serious!
 
Lara umejitahidi kujibu lakini bado sanaaaaaaaaaaa! Ukombozi wenu,mfano ili nijue info zako wewe nikimuuliza best yako nazipata zote why?
_kwa nini ni rahisi mwanamke kukutongozea mwanamke mwenzie na sio man kimshawishi man mwenzie achukue dem fulani?
Jirekebisheni hapo kwanza,

Ukiwa na Dada ni 100% marafiki wa Dada yako unawala
 
lara 1 na happy lady kuna jambo ambalo mmelisahau nalo ni

"maisha yalianza kumbagua mwanamke kwasababu ya maumbile" biologically nature iliamua hivyo ili kumrescue huyu mwanamke na maudhi yatokanyo na jinsia yake.

sasa kuna changamoto pale unapotaka ku-intergrate nature na technolojia. to me big up to tech advancement manake imemrahisihia mwanamek mambo mengi sana japokuwa yapo ambayo yamebaki kuwa ni ya nature tu hata tech ikuweje.

mfano: mwanamke kubeba mimba, ama kupata hedhi hii ni nature na technolojia inaweza kutusaidia lurahisiha process hizi lkn siyo kuzireplace.

wanwake hawahitaj replacement ya nature processes bali wanahitaji means to cope with them. na hata tunapojitahd ku cope basi ieleweke kwamba ni sehem ya maisha na siyo kwamba tunataka kuwa outsmart wanaume.

Fikiria swala kama hili, una mtoto mchanga wa wa miezi kama 9 hivi, uko ofcn inatokea safari wewe uko entitled kwenda kutokana na taratibu za kiofisi lkn unashindwa kwasabab una mtoto mchanga, na unaposema nina haki ya kwenda na nitaenda na mwanangu basi bosi anaona kama vile kukuongezea iyo half per diem kwako ni faida sana na kwamba anakutajirisha sanaa akasahau kwamba wewe unarisk kwanza kwa kwenda na mtoto na pili hata iyo kazi haina security kwa mtt wako incase of any damage.

ni shidaaaa!


Na kitu kingine kilipelekea kuwa tunachukuliwa hivyo ni nature ya majukumu ambayo wanaume walikuwa wanafanya zamani,kazi ngumu na zinazohitaji nguvu,si tukaonekana dhaifu.....masculinity ilitokana na majukumu yao.....siku hizi wakishaenda mazoezi wakawa na vifua wanataka kuburuta watu...mwe,kazi tunafanya zilezile,masaa yale yale,elimu ile ile,mimba tubebe, bado wao wawe treated kama wanaume wa zamani na bado mtu wanaendelea na madharau yao, na ,kila kitu unachofanya baadhi yao wanaona kama vile ni kwakuwa umesoma,una hela,una akili na exposure na vitu kama hivyo.

Ukweli ni kuwa lazima wabadili attitude zao,elimu ilipaswa kutubadili,kutuimarisha na kutufanya vizuri zaidi kwa manufaa yetu,ya familia na taifa....sio kila kitu kionekane kama ni ushindani na wanaume.
 
We nawe unawalisha maneno watu, nani kasema anataka kuwa juu ya mwanaume?

Siku nyingine usome kwanza.
Dini gani inasema mwanamke awe chini?

Usiombe samahani, huu ni mjadala tu. Na ni kweli kwenye dini mwanamke yuko chini sekta mbali mbali

1. Hakuna nabii wa Kike hata mmoja
2. Vitabu vya wanawake biblia nzima sijui vi 3 au 4.
3. Wanawake hawakuwekwamo kwenye hesabu za watu kana kwamba si watu, katoto kadogo ka kiume kanahesabiwa mbibi anachwa.
4. Wanawake wachache sanaa walipata uongozi katika vitabu karibia vyooote.

Pamoja na kutokutamkw rasmi ila dini nyingi zilimuweka mwanamke chini.

Rudia bible knowledge mumy, Manabii wa kike walikuwepo.... Luka 2:36, Waamuzi 4:4.

Kinacho wacost wanawake ni laana namba mbili baada ya kuzaa kwa uchungu.

Hizi lugha za kujibembeleza zimefanya akili zetu zilegee, na tumekuwa wavivu hata tunakosa baraka.

Nionyeshe mwanamke mkristo anayeishi hata nusu ya sifa za mwanamke wa Mithali 31:10-31, kama analamika njaa, uonevu au kunyimwa cheo.

Tumepungua ndo maana tunaruhusu hayo. Hao wanaoenda kwenye mikutano ya dini, shule tungetumia uwezo wetu hata kidogo matokeo mazuri yangeonekana.

Mara zote nilizoshindwa kufanya vizuri ilikuwa ni kwa sababu za woga wangu na si uanamke.

Dare to the maximum.
 
Nadhani umesoma UDSM na wanawake ni wengi kuliko wanaume.Ulishawahi kuwaconvice wasomi wa kike wamchague president wa DARUSO mwanamke.Kama wale wasomi wakiweza hata wengine wataweza
 
Kutumia mwili kunakuja kama LEVERAGE ya impossibility mlizoziweka nyie wanaume. Inakuwa mnaacha NO WAY OUT! Either ukubali kustaafu bila cheo au ndo utoe mwili. Mwanamke hawezi kutoa mwili wak isipomlazimuuu. Ndo pale njaa imekubana, una shida ya kazi, boasi nataka mzigo. EITHER WAY YOU LOSE!!!!!!! Ukimpa kakutapeli, ukimnyima njaa itakumaliza sooner or later. That is a challange of being a woman.

hiyo naikubali kwa 50% tu, the other 50% ni kwa sababu wengine wanaona hiyo ndo shortcut to reach where they dream or get want they want
 
I hate to tale on these people lakini THEIR GREATEST WEAPON IS WEAPON IS THE MIND! They play with your mind. Anakuprofile tu, what is your weakness. Kama unataka Romeo n Julliet story atakuwa Romeo, unataka ndoa atajifanya anatafta mke, unapenda company atajifanya mtu wa company. WHAT EVER YOU WANT THEY DELIVER BEYOND YOUR IMIGINATION.

Sasa it takes only the msrtest kuvuka hivi vigingi. TO THEM IT IS LIKE A GAME! To the women it is their life, emotions,heart at stake.

That's normal, ni mwanamke tu kujiongeza mwenyewe, mbona hata mtaani huku ni hivyo hivyo wanacheza na mind zao
 
na wewe uliyoongelea ni hongo vile vile, unless ufafanue kama nilikuelewa vibaya

Hapana sikuongelea hongo, kanisome vizuri halafu unieleze ni kipi ulidhani wewe kuwa ni hongo.
 
natamani hili lizungumzwe zaidi, wengine zaidi ya salamu na ushauri hakuna lingine.....kumbe kuna watu wengine pengine wakiona pop up ya message wanatetemeka kwa kuhofia kilichoandikwa.....this is serious!

hili sidhani kama ufumbuzi utapatikana, tatizo ni la kibinafsi zaidi na kutokujitambua, wengi humu wako desperate na ndoa na kuweka mbele pesa, so men take advantage of that
 
ila hii ya TRIPLE ENTENTE ni kujitakia kwakweli
mi nawangaliaga PM zao uko nacheka mwenyewe tu
yaani unijui sikujui eti nikubali kisa umenipa maneno mazuri uko pm
aaha uyo siyo mimi labda
kama kuna kubakana mtandaoni mtanipata
ila kama ni iyari yangu mtasubiri sna na mtabet sana
 
Hahhaaaa.... Kuna watu wana roho ndogo aisee, wakikutana na maswahibu wanachange ID zao....

Sasa mtu atabadilisha ID ngapi...kama ni changamoto za maisha zipo kila mahali...mtu utajikana kweli kwasababu kuna maswahibu yamekukuta!Running from your problems doesnt solve them!!
 
Happy women's day!
Nawapenda wanawake wote jf!
Enyi wanawake wenzangu kuweni makini ni makanjanja ya jf....amina!
 
Katika tatizo kubwa ambalo linalo wakabili wanawake karibu 80% ni wanawake wenzao na hilo ndilo pengine halina ufumbuzi!

Yani huwa mnajua kupeana sana wasia na mawaidha ya kila aina lakini huwa ni wepesi kusahau na mnayaacha hapo hapo!

Katika jambo ambalo hunishangaza zaidi ni uwezo mlio nao wa kudhalilishana pengine hili ni janga lenu la taifa kama si dunia!

"Ukitaka kumroga mwanamke kirahisi mtafute mwanamke mwenzie"

Sikukuu njema
 
matatizo ya mwanamke nionavyo mimi hayawez kutatuliwa na mwanamke mwenzie kama yalivyo matatizo ya mwalimu hayawez kutatuliwa na mwalimu mwenzie.

sabb kubwa ni
  • ubinafsi
  • woga
  • chuki
  • kutokujali na
  • utayari
wanaume wameshajua haya mapungufu na ndio mana huyasimamia haya kunyanyasa wanawake. wanume waliokuwa vizuri kimaisha wana heshima sana kwa wanawake na hii hata kama mkewe atamkosema huona kwamba kakosea ktk hali ya kibinaadamu zaid lkn wale wanaume waganga njaa ndo wanyanyasaji zaid. yaani naweza kusema sijui ni kutokujiamini labda.

Nisamehe dada angu, nilikuwa mbali sana.

Kiukweli wanaume wamegundua mbinu hiyo ndio maana wanatuweka katika wakati mgumu
 
Nimekubaliana na 75%ya point zako,but lara1 kuna kitu najiuliza why hampendani ninyi wenyewe?mifano iko mingi niliwahi kufanya kaxi na mwanamke fulani akiwa GM wa kampuni moja kubwa sana but huwezi amini hakupenda kuajiri wanawake wenzake hata kama wana vigezo vya kufanya kazi hiyo,nawaomba kinadada mjitambue kwanza na mpendane wenyewe kwanza,hata katika mafanikio huwa mnaangushana wenyewe.

Mimi naona usishangae, wanawake wengi ni wavivu asikwambie mtu. Kuna wanawake kadhaa nafanya nao kazi yaani ni shidaaaaa asikwambie mtu, mi nadhani waanze kujituma na kuanzisha makapuni kama wanaume usawa unaweza kukaribia kidogo.
 
Back
Top Bottom