Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

siyo kwamba wanajirahisisha wenyewe kweli??

I hate to tale on these people lakini THEIR GREATEST WEAPON IS WEAPON IS THE MIND! They play with your mind. Anakuprofile tu, what is your weakness. Kama unataka Romeo n Julliet story atakuwa Romeo, unataka ndoa atajifanya anatafta mke, unapenda company atajifanya mtu wa company. WHAT EVER YOU WANT THEY DELIVER BEYOND YOUR IMIGINATION.

Sasa it takes only the msrtest kuvuka hivi vigingi. TO THEM IT IS LIKE A GAME! To the women it is their life, emotions,heart at stake.
 
Tukija kwenye dini tunaona ya kuwa wanawake tunatakuwa tuwe chini ya lkn kwa sababu ni science na technology tunajikuta tunataka kwenda sawa kitu ambacho tukikiendekeza.saanammwisho wa cku hutuumiza wenyewe kuna wakati tunatakiwa tukubari hari arisi ya kuwa hatuwezi kuwa juu ya wanaume hta cku mja tutafurukuta kkn mwisho wa cku lazima tukae na ndoa nyingi cku hz hazidumu kwa sababu ya hii kitu inayoitwa haki sawa ila samahani km nitawakwaza wanawake wenzangu lira1 nakukubari saana

We nawe unawalisha maneno watu, nani kasema anataka kuwa juu ya mwanaume?

Siku nyingine usome kwanza.
Dini gani inasema mwanamke awe chini?
 
HAKUNA MTU ANAETAKA KUWA JUU WALA NINI. All we are asking is a space to breath. Walau kanafasi ka kuhemea. Walau tule tu haki twa binadamu tukuhusuuuu.

Ndo kutokudumu sababu ni nyingi, lakini hii inakuja sio kwa sababu wanawake wanataka kuwa juu, bali sababu wanaume wamesha bemendeka na mfumo dumeee. Yani mwanaume anakuwa na OVER EXPECTATIONS juu ya anachotakiwa mwanamke kufanya. Ndo maana wasomi wa kike wengi yanawashinda sababu wamejitambua. SHOGA ANGU MIE MUMEWE KAMWAMBIA MSHAHARA AWE ANA MKABIDHI NA SALARY SLIP! Kugoma mume hanunui chochote ndaniiiii, na kazi anayo. Mradi maudhi tu.
 
Tukija kwenye dini tunaona ya kuwa wanawake tunatakuwa tuwe chini ya lkn kwa sababu ni science na technology tunajikuta tunataka kwenda sawa kitu ambacho tukikiendekeza.saanammwisho wa cku hutuumiza wenyewe kuna wakati tunatakiwa tukubari hari arisi ya kuwa hatuwezi kuwa juu ya wanaume hta cku mja tutafurukuta kkn mwisho wa cku lazima tukae na ndoa nyingi cku hz hazidumu kwa sababu ya hii kitu inayoitwa haki sawa ila samahani km nitawakwaza wanawake wenzangu lira1 nakukubari saana

Mwanamke mwenzangu, sikubaliani na wewe.
Na tukisema tuendelee na mfumo huu, tutaishia kunyanyasika milele
 
Nimekubaliana na 75%ya point zako,but lara1 kuna kitu najiuliza why hampendani ninyi wenyewe?mifano iko mingi niliwahi kufanya kaxi na mwanamke fulani akiwa GM wa kampuni moja kubwa sana but huwezi amini hakupenda kuajiri wanawake wenzake hata kama wana vigezo vya kufanya kazi hiyo,nawaomba kinadada mjitambue kwanza na mpendane wenyewe kwanza,hata katika mafanikio huwa mnaangushana wenyewe.

Nyie ndo mmetubemenda na kutusababishia chukiii. UKICHUNGUZA SANAA CHUKI BAINA YA WANAWAKE CHANZO KIKUBWA NI MWANAUME. Kwa hio nyie bado ni tatizo kubwaaa. Huyo GM si ajabu alikuwa na mashaka wakija wa dada pale na uzee wake nyie VIDUME mtampa zaidi attention.
 
We siku moja unaiona ndogo, ila ILITUCHUKUA KARNE NA KARNE KUPAMBANA KUIPATA HIO SIKU MOJA. Lazima tuishereke kikamilifu.

lara ili mpate ukombozi fanyeni haya
1,kataeni kutolewa mahari
2.kataeni viti vya upendeleo bungeni
3.wacheza shoo wa kike kwenye miziki wasivae nusu uchi
4.msipewe maksi za upendeleo ili kuendelea na masomo.
Lara tupo pamoja patner?
 
Mwanamke mwenzangu, sikubaliani na wewe.
Na tukisema tuendelee na mfumo huu, tutaishia kunyanyasika milele

Na wanaume wanatu nyanyasa sababu hawawezi kunyanyasa wanaume wenzao. Ndo unakuta ile hasira ya kukaliwa kichwani wanaume wenzie anaimalizia kwa mwanamke! SO SAD! Ndo maana mara chache kukuta a successful man ni mnyanyasaji wa wanawake.
 
Tukija kwenye dini tunaona ya kuwa wanawake tunatakuwa tuwe chini ya lkn kwa sababu ni science na technology tunajikuta tunataka kwenda sawa kitu ambacho tukikiendekeza.saanammwisho wa cku hutuumiza wenyewe kuna wakati tunatakiwa tukubari hari arisi ya kuwa hatuwezi kuwa juu ya wanaume hta cku mja tutafurukuta kkn mwisho wa cku lazima tukae na ndoa nyingi cku hz hazidumu kwa sababu ya hii kitu inayoitwa haki sawa ila samahani km nitawakwaza wanawake wenzangu lira1 nakukubari saana

sio siri umeongea ukweli ambao wengi wanauficha..
Ndio maana siku hizi tunaishi maisha ya ''muwahi adui abla hajakuwahi''
 
Mnatakiwa mjiamini kwanza muache kujihusisha na kuwa fake...
 
We nawe unawalisha maneno watu, nani kasema anataka kuwa juu ya mwanaume?

Siku nyingine usome kwanza.
Dini gani inasema mwanamke awe chini?
ndiyo maana niliomba radhi kwanza my

Usiombe samahani, huu ni mjadala tu. Na ni kweli kwenye dini mwanamke yuko chini sekta mbali mbali

1. Hakuna nabii wa Kike hata mmoja
2. Vitabu vya wanawake biblia nzima sijui vi 3 au 4.
3. Wanawake hawakuwekwamo kwenye hesabu za watu kana kwamba si watu, katoto kadogo ka kiume kanahesabiwa mbibi anachwa.
4. Wanawake wachache sanaa walipata uongozi katika vitabu karibia vyooote.

Pamoja na kutokutamkw rasmi ila dini nyingi zilimuweka mwanamke chini.
 
Na wanaume wanatu nyanyasa sababu hawawezi kunyanyasa wanaume wenzao. Ndo unakuta ile hasira ya kukaliwa kichwani wanaume wenzie anaimalizia kwa mwanamke! SO SAD! Ndo maana mara chache kukuta a successful man ni mnyanyasaji wa wanawake.

Ndo mana yake.
Ila kwanini tatizo hili linapigiwa kelele lakini halipati ufumbuzi?
Je, wanawake wenzetu ndio chanzo au
 
FaizaFoxy

Well said faiza foxy, so does lara 1.
mie swla la wanawake naliona kwa namna tofauti zaid. leo sijaweza kupitia kauli mbiu ya siku ya wanawake na kuifahamu lkn nimejikuta naiikumbuka kauli mbiu isemayo

"tukiwezeshwa tunaweza"

binafsi kauli hii ni ya unyanyasaji hasa wa kijinsia manake ni wazi kwamba kama amekuwezesha basi ndiye aliyeweza na sio wewe uliyewezeshwa uliyeweza.

nikiongelea wanawake naongelea wale ambao wana hustle kusaka maji safi kwa matumizi ya ndani ambao hutumia muda zaid ya nusu siku kusaka ndoo moja ya maji, na akirudi nyumban baba anamtizama kama amepika ama laa na bado usiku anahitaj huduma.

nawafikiria zaid wanwake ambao hawana namna ya kujitetea kwasababu ya elimu, jukwaa la kuongelea, na uwezo wa kusikika ambao wao kwanafasi yao hutumia muda wao kujishughulisha na kazi za kuongeza kipato na wanapovuna baba ndiye humiliki mapato ya familia na ndiye muamuzi wa mwisho.

mwanamke huyu anashindw akuwa na maamuzi juu ya kipato chake, ailisheje familia yake awavesheje mwisho wa siku baba hupanga bajeti kubwa kwajili ya kilabuni na bajeti finyu kwaajili ya mahitaji ya familia.

na imagine mwanamke huyu ndiye ambaye watoto wake wanaugua kiseyeye, mwanamke huyu ndiye ambaye hana uwezo wa kuuguza ndg zake kisa kipato kidogo nk.

hivi mwanamke huyu wanawake wengine wanamsaidiaje? hivi hata tukipanga kwenye ofc zetu huduma zetu za kijamii huwa tunawafikiria hawa kwenye hiyo mipango? je kama wanawake wenye ushawishi twawezaje kuwafanya wenzetu wanufaike zaid na huduma zetu?

natamani kuona, wanawake walioko kwenye ngazi za maamuzi wakiwa na malengo madhubuti juu ya mahitaj ya wanawake wengine wasiokuwa na nafasi hiyo. natamani kuona mwanamke aliyeko na maamuzi kwenye upatikanaji wa maji anatoa priority kwa mwanamke mwenzie kupata maji na anakuwa na mipango ya kuhakikisha mwanamke huyu anayapata, kadhalika aliyeko kwenye afya, elimu, ustawi wa jamii, nk

siku kama hii iwe ni changamoto ya kuwakumbusha wanawake watoa maamuzi jinsi ya kupanga mipango ya kazi zao ikilenga kuwa na matunda mazuri zaid kwa wanawake wasiokuwa na uwezo kama wao.

zamani niliwah kudhani kwamba watu wote wana access na kila wanachokitaka kumbe nilikuwa sijui. kiukweli kuna wanawake wanaishi maisha magumu sana ambayo hata kuyawaza unashindwa. wapo ambao hata raha ya haya maisha unaweza kusema hawana ama hawaijui. ni changamoto sana.
 
Last edited by a moderator:
lara ili mpate ukombozi fanyeni haya
1,kataeni kutolewa mahari
2.kataeni viti vya upendeleo bungeni
3.wacheza shoo wa kike kwenye miziki wasivae nusu uchi
4.msipewe maksi za upendeleo ili kuendelea na masomo.
Lara tupo pamoja patner?

COME ON! Mbona India mwanaume anatolewa mahari? Mfano sie wachaga mahari kubwa ni pombe nacho kitu cha kusemea umnyanyasie mtu?

Viti vya upendeleo hatuwezi kukataa, mtoto hakimbii kabla hajatembea. Wale viti maalumu tumewatanguliza wapate kwanza ujuzi, na wengi wanakujaga kushika majimbo.

Wacheza shoo wa kike wanaganga njaa tu, kuvaa vile sababu nyie mmetaka wavae vile, siku wanaume mkisema wacheza shoo wanaovaa ninja wanawavutia watavaa ninja.

Maksi za upndeleo ni muhimu saabu mwanafunzi wa kike na kiume SI SAWA. Wa kiume akitoka shule atasoma, na kwenda mpirani. Wa kike atafua, atapika, ataosha vyombo, ataeka maji, atalea wadogo zake. Ukitegemea wafaulu sawa unamuonea wa kike.
 
Mnatakiwa mjiamini kwanza muache kujihusisha na kuwa fake...

Lazima tuangalie chanzo KWANINI MTU ANAAMUA KUWA FAKE? Sababu vile alivo wanaume mna m STIGIMISE na kumfanya ajione hafai, hatoshei, hana mashiko ndo katika ku try to fit in mtu anamua kuwa mtu tofauti.
 
lara 1 na happy lady kuna jambo ambalo mmelisahau nalo ni

"maisha yalianza kumbagua mwanamke kwasababu ya maumbile" biologically nature iliamua hivyo ili kumrescue huyu mwanamke na maudhi yatokanyo na jinsia yake.

sasa kuna changamoto pale unapotaka ku-intergrate nature na technolojia. to me big up to tech advancement manake imemrahisihia mwanamek mambo mengi sana japokuwa yapo ambayo yamebaki kuwa ni ya nature tu hata tech ikuweje.

mfano: mwanamke kubeba mimba, ama kupata hedhi hii ni nature na technolojia inaweza kutusaidia lurahisiha process hizi lkn siyo kuzireplace.

wanwake hawahitaj replacement ya nature processes bali wanahitaji means to cope with them. na hata tunapojitahd ku cope basi ieleweke kwamba ni sehem ya maisha na siyo kwamba tunataka kuwa outsmart wanaume.

Fikiria swala kama hili, una mtoto mchanga wa wa miezi kama 9 hivi, uko ofcn inatokea safari wewe uko entitled kwenda kutokana na taratibu za kiofisi lkn unashindwa kwasabab una mtoto mchanga, na unaposema nina haki ya kwenda na nitaenda na mwanangu basi bosi anaona kama vile kukuongezea iyo half per diem kwako ni faida sana na kwamba anakutajirisha sanaa akasahau kwamba wewe unarisk kwanza kwa kwenda na mtoto na pili hata iyo kazi haina security kwa mtt wako incase of any damage.

ni shidaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mana yake.
Ila kwanini tatizo hili linapigiwa kelele lakini halipati ufumbuzi?
Je, wanawake wenzetu ndio chanzo au

matatizo ya mwanamke nionavyo mimi hayawez kutatuliwa na mwanamke mwenzie kama yalivyo matatizo ya mwalimu hayawez kutatuliwa na mwalimu mwenzie.

sabb kubwa ni
  • ubinafsi
  • woga
  • chuki
  • kutokujali na
  • utayari
wanaume wameshajua haya mapungufu na ndio mana huyasimamia haya kunyanyasa wanawake. wanume waliokuwa vizuri kimaisha wana heshima sana kwa wanawake na hii hata kama mkewe atamkosema huona kwamba kakosea ktk hali ya kibinaadamu zaid lkn wale wanaume waganga njaa ndo wanyanyasaji zaid. yaani naweza kusema sijui ni kutokujiamini labda.
 
We nawe unawalisha maneno watu, nani kasema anataka kuwa juu ya mwanaume?

Siku nyingine usome kwanza.tatizo hawa wanaume wanajua udhaifu wetu upo wapi hasa cc wa hari ya chini tunapata tabu saana kupambana na hawa viumbe twahitaji kuwa na akiri ya ziada saana lacvyo tutaishia kuongea tu mwisho wa cku patupu ukute mda huu wapo turi wanatusoma tu
Dini gani inasema mwanamke awe chini?

Usiombe samahani, huu ni mjadala tu. Na ni kweli kwenye dini mwanamke yuko chini sekta mbali mbali

1. Hakuna nabii wa Kike hata mmoja
2. Vitabu vya wanawake biblia nzima sijui vi 3 au 4.
3. Wanawake hawakuwekwamo kwenye hesabu za watu kana kwamba si watu, katoto kadogo ka kiume kanahesabiwa mbibi anachwa.
4. Wanawake wachache sanaa walipata uongozi katika vitabu karibia vyooote.

Pamoja na kutokutamkw rasmi ila dini nyingi zilimuweka mwanamke chini.
 
Happy women's day lara 1
Speaking as a proud woman and a mother....signature yako inasema kila kitu....Member wengi sana walivuma kwa kishindo wamedisappear kimyakimya....tunatakiwa kuwa makini aisee!!

Hahhaaaa.... Kuna watu wana roho ndogo aisee, wakikutana na maswahibu wanachange ID zao....
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Lara 1 kwa hii post,

Nitachangia machache kwa kuwa kidogo nimekwepo JF na kwasababu ya majukumu na wakati mwingine kutokuona cha kuchangia nikaishia kukaa kimya.

Ila leo tumalize hii siku ya wanawake kwa ku-share experience ya JF:

1) JF ni sehemu ambayo ina watu wengi,kila mmoja yuko hapa kwa lengo lake na ana mkakati wake tofauti na mwingine kufikia malengo yake. Kuna walioko kupata habari,kuna walioko kupata habari,ku-share mawazo na kujifunza kwa wenzao pamoja na kutengeneza network zao, kuna walioko kutafuta marafiki na kuna ambao wapo wakitaka ku-prove uanaume wao au uanamke wao,utoto wa mjini wao,usafi wao na mengine mengi.
Kwa minajili ya utofauti huo hatuna budi kujua kitu cha kukubaliana nacho,ku-ignore na hata kukikataa kwa nguvu zote.

2) Mimi naifahamu bullying ya JF kidogo,nilishapata hiyo na nikaishia kutukana japo si hulka yangu na sasa ndio kabisa nadhani almost nashindwa kutukana, na-ignore naishia zangu,kwa kuwa ndani ya moyo wangu najua nikiingia JF nataka nini na nini kipite tu bila kusumbua akili yangu kwa kuwa pia siwafahamu asilimia 99.9 ya watu huku.
Kuna vitu mi nikivisoma kwa mfano kwako Lara 1, ukiwa unajibishana na mtu au kutukanana nae, siwezi kuibeba ile ishu kama attack against women na mimi nikaungana kumtukana yule mtu. Kuna personalities ambazo kila mtu ana yake,approach yangu ya ku-deal na mjinga sio yako au ya mtu mwingine,so wakati mwingine unaumia but unaona anyway Lara kaamua kumuita shoga inapita. Ubaya wa watu kama hawa wanaharibu mantiki ya thread na majadiliano ya jumla,mtu badala usome discussion unaishia kusoma matusi kati ya watu wawili,unachoka unapita tu. Mi namna yangu ingekuwa ku-ignore kabisa watu wenye lengo la kuharibu thread,upuuzi wake uishie pale kwenye comment yake moja. Trust me JF kuna watu akili zao hazina uwezo mzuri wa kitu kingine zaidi ya matusi,the only thing hao watu wanaweza shindanishwa wakashinda ni matusi...ni kujitahidi kutokuwa sehemu ya mafanikio yao.

Suala la sera za mwanamke na wanawake tunavyonyanyasika makazini nalielewa, ila sasa suala la mwili wa mtu na maamuzi ya mwili wake na namna anavyoona mwili wake utumike kwenye kumfikisha kwenye malengo yake ni la mwanamke binafsi. Kukosa kujiamini ni moja ya sababu,pili kupenda vya haraka haraka na vyepesi tatu ushindani wa kijinga makazini. Inahitaji toka tunapolea watoto sasa tuwajengee kujiamini na kuwa na bidii na kwamba bidii ndiyo itawafikisha juu na sio kuvua chupi. Tupo wengi ambao kwa elimu,networks,kuheshimu na kufanya kazi tunazopewa kwa uaminifu tumesogea bila hata kutongozwa,though ukishafika huko juu utasikia wanawake wale wale wanasema ulitembea na fulani ukapanda ngazi. Tubadilike sisi na hawa viumbe wazito na watabadilika na kuacha kututumia,kutugawanya kwa manufaa yao.

Nadhani tujadili hapa au hata PM kuhusu Cyper bullying, na namna ya kushughulika na hawa watu,manake kwa mtu mwenye nia njema na akili zake akiwaza kwanini akae JF achangie mengi mazuri aliyonayo halafu atishiwe au kutukanwa wataondoka wengi. ha ha ha ha,hatubadilishi ID,hapa hapa tubanane na wakae sawa. Enough na huu uoga uoga ndio maana wanatukana tu hovyo,mi nikajua ni kwa thread tu kumbe hata PM?? That's too much.

Mwisho wa siku jamani sipendi kumuona mwanamke akiumia au kujiona victim kwa kulala na mwanaume fulani. Wanaume wa JF ni wale wale wa mitaani tu, mi nasemaga mapenzi ni risk,unampenda mtu usiyejua kwa hakika anachokuwazia,unapoamua kuwa nae,make sure ni kwasababu sahihi kama upendo au tu starehe,ila pia yanapogeuka isiwe ni ishu ni kumpata JF. Kuna walioooa hapa JF na waliopata wanaume wazuri tu. Timiza wajibu wako,muombe Mungu akusaidie,mchunguze,mpime,mbanie,jilinde ikibidi mpaka utakaporidhia anakustahili. Yakitokea mengine basi,you loved him for the right reasons, It did not work, Life goes on.

HAPPY WOMENS DAY, TUPENDANE, TUJENGANE,TUPEANE MOYO NA TUNIE NA KUWA WAMOJA.
 
Back
Top Bottom