Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

Amgoing to try be simple:

U are on point in this discourse!

Mimi siongei kwa hasira ila nakubali kuwa sheria imejaribu sana kueka njia zakumlinda mwanamke
kuwepo kwa sheria na miongozo haimaanishi hivi vitu vinafwatwa kikamimilifu or even half
for example:sheria inasema mwanamke apewe elimu kama mwanaume..je watoto wotewa kike wanapata elimu?
familia ngapi vijijini hadi leo mtoto wa kike ataozeshwa na wa kiume ataenda shule?

Hujaongea kwa hasira,wrestling the matter at hand,kama sheria zipo na hazifatwi,supposedly,kosa ni la mwanaume?Yaani if I get you correctly,mifumo yote ya law enforcement,kutoa haki,serikali nzima na jamii kwa ujumla ime-conspire kubana all affairs ambazo ni haki ya mwanamke?Fill me in more about this.

Mifano uliyotoa on the surface value ni sahihi ila in a nutshell kuna tatizo kidogo,leo hii as we speak ni jamii chache sana Tanzania zinazokataza mtoto wa kike kusoma au kutahiri,ni jamii za kuhesabika.Na infact wanaofanya hivyo wakishikwa ni jela na kila siku tunaona.Yaani tukio la hivyo likipatikana ni news worthy,litasmash all over the place.

je ukeketaji kinyume na matakwa ya mkeketwaji inafanyika?

Ndio inafanyika,ila ukeketaji upo kwa jamii chache tu nowadays.

je hakuna sheria yakutomuumiza binadamu mwenzio?

Ndio,ipo

je ni wanawake wangapi wanakuwa raped everyday?

Sina figure kamili,ila wapo….pia wanaume wanabakwa wapo pia.


or what about domestic violence(ipo prone to women zaidi)

Ipo…correct,ni wanawake zaidi…hapa napo huenda wanawake ndio wanaoripoti matukio zaidi...unachosema sidhani kama kina mantra status,still debatable!

sitaki kueka huu mjadala in a more personal level ya mahusiano at all so aljust use examples za maisha ya kawaida

Sawa…..

Personally nasupport equality in the sense of fairness and justice thats all
usichukue haki ya mtu kwasababu tu ya jinsia yake bali kuwepo na sababu zaidiya jinsia yake
kama kazi imetokea angalia cridentials na what the person has to offer siojinsia yake

Hii ndio ndoto ya kila social group kwenye jamii!


je hizi movement zina effect?hell yes

I agree…

Nimeshawahi kusema,wanawake tunatumia emotions zaidi and thats just nature naMungu alijua ni kwanini kamuumba mwanamke hivyo so lets not use it as aweakness ya kumkandamiza mwanamke
lakini for some reason baadhi ya wanawake wametumia hizi movement kutoa hasirazao ndo hapo utaona mtu anafanya kazi but hataki mume amuulize mda atakaotoka
Baadhi ya wanawake wametumia hizi movement kama njia za kuharibu misingi yamaisha(i mean morals)

Kumbe unakubali WOMEN and MEN are different in principle.As per what you just wrote,you are not feminist.I can see you believe in "Motherhood".

Haya,let us agree in principle kwamba MEN ARE NOT EQUAL TO WOMEN. Na pia tukubaliane however kwamba the rights of women can be no less –

Sasa mnavyoenda unataka kuniambia because of their unique position of motherhood, their rights should in fact be greater than those of men labda???!!It is a heck of a nut to crack!

Baadhi ya wanawake wametumia movement hizi kama njia ya kukandamiza wanawakewenzao

Reality remains,woman killer is her fellow woman!


je imeathiri wanaume?ndio
sasa hivi idadi ya wanaume wanaoweza kusimama kwenye familia ni wachachecompared to zamani yani wanaume wengi wamefanya majukumu yao yanabebwa nawanawake
ni wanaume wachache ambao mama ameweza kuembrace(positively) movement na waowakasimama kama wanaume

Na pia ni wanawake wachache these days wanaweza kusimama kama mama like it used to be in those days.Hii ni maadili kushuka,KE na ME zote zimeadhirika sawia!

its not the movement,ni reaction ya baadhi ya wanawake na kutojua lipi lakuchukua na lipi la kuacha kutoka kwenye midomo ya baadhi ya wamama wanaoongozahizi movement,wale ni binadamu na huwezi jua mambo waliyoyapitia na at timeswanashindwa kuact proffessionally ni kama tu wachungaji na jinsi baadhwanatumia nafasi zao vibaya

Wanawake wanamalizana wao kwa wao!

swala la wanawake kutumia miili yao kama njia ya kipato
this goes deeper maana hata feminism haikubali mwanamke kutumia mwili wake kamanjia ya kipato
it goes to the roots..familia,child psychology etc

Hapa ni purely choice….

swala la wanawake kuoneana

hili lipo kwa jinsia zote
wapo wnaume wangapi wamemalizana kibiashara,wamedhulumu haki za urithi,wameuandugu zao etc
tofauti kubwa ya wanawake na wanaume ni emotions yani mwanamke akimchukia mtuatataka kila mtu ajue na atafanya kila analoweza kumuonesha
baadhi ya wanaume wako hivi pia

Correct,ipo kote kote!

kazini
naelewa how much wale wanawake ambao they want to use their capabilities nahawataki kutumia miili yao kufanikisha malengo yao wanapitia mengi
kuna kutunza familia
kuna mabosi wasiokua na nidhamu
kuna wanawake wenzio watakaokudiscourage
ila you still have to survive

Shida zote hizo,wanapata wanaume pia,ila naturally hua hatusemi au kulalamika,it's men's code,uki-whine tu u will called a sissy all your life!


to me equality na equity inamaanisha nina uwezo wa kuachieve anything if i putmy efforts to it
it means i should treat people kama vile napenda kuwa treated na vile ambavyomazingira yatanifanya nisway without

Ni sawa Tracy,I see a woman can archive anything here in Tanzania as we speak,pretty much!

Sioni hii kulialia linatoka wapi….
 
Huo u natural aliuweka nani? Hiyo ni falsafa iliyojengwa na wanaume wenyewe ili kuwakandamiza wanawake, ukifanikiwa kumtawala mtu kiakili umemaliza kila kitu.

hilo la kuukataa unnatural ndo linamaliza kizazi..siku hizi wanawake wanaact ka wanaume..ndo maana jamii unaona ipo shaghala baghala
 
hilo la kuukataa unnatural ndo linamaliza kizazi..siku hizi wanawake wanaact ka wanaume..ndo maana jamii unaona ipo shaghala baghala

Mkuu,it is sad dudes want to be girlies and ladies want to be dudes...as of now,naona inclusion na haki ipo mahali pazuri tu,sema watataka hadi mimba zibebwe kwa awamu btn man and a woman....im afraid watataka hadi kubadili vidudu..

Mioyo yao bado haijaridhika,kuna vacuum,I see they are looking for something to replace "Man",washamchoka...au wao wenyewe wawe na uwezo wa kua convertible to "Man" and have their "intellect"...


Jeeezuuzzzz!
 
U are on point in this discourse!



Hujaongea kwa hasira,wrestling the matter at hand,kama sheria zipo na hazifatwi,supposedly,kosa ni la mwanaume?Yaani if I get you correctly,mifumo yote ya law enforcement,kutoa haki,serikali nzima na jamii kwa ujumla ime-conspire kubana all affairs ambazo ni haki ya mwanamke?Fill me in more about this.

Mifano uliyotoa on the surface value ni sahihi ila in a nutshell kuna tatizo kidogo,leo hii as we speak ni jamii chache sana Tanzania zinazokataza mtoto wa kike kusoma au kutahiri,ni jamii za kuhesabika.Na infact wanaofanya hivyo wakishikwa ni jela na kila siku tunaona.Yaani tukio la hivyo likipatikana ni news worthy,litasmash all over the place.



Ndio inafanyika,ila ukeketaji upo kwa jamii chache tu nowadays.



Ndio,ipo



Sina figure kamili,ila wapo….pia wanaume wanabakwa wapo pia.




Ipo…correct,ni wanawake zaidi…hapa napo huenda wanawake ndio wanaoripoti matukio zaidi...unachosema sidhani kama kina mantra status,still debatable!



Sawa…..



Hii ndio ndoto ya kila social group kwenye jamii!




I agree…



Kumbe unakubali WOMEN and MEN are different in principle.As per what you just wrote,you are not feminist.I can see you believe in “Motherhood”.

Haya,let us agree in principle kwamba MEN ARE NOT EQUAL TO WOMEN. Na pia tukubaliane however kwamba the rights of women can be no less –

Sasa mnavyoenda unataka kuniambia because of their unique position of motherhood, their rights should in fact be greater than those of men labda???!!It is a heck of a nut to crack!



Reality remains,woman killer is her fellow woman!




Na pia ni wanawake wachache these days wanaweza kusimama kama mama like it used to be in those days.Hii ni maadili kushuka,KE na ME zote zimeadhirika sawia!





Hapa ni purely choice….



Correct,ipo kote kote!



Shida zote hizo,wanapata wanaume pia,ila naturally hua hatusemi au kulalamika,it’s men’s code,uki-whine tu u will called a sissy all your life!




Ni sawa Tracy,I see a woman can archive anything here in Tanzania as we speak,pretty much!

Sioni hii kulialia linatoka wapi….
Kwanza habari lebron?

Sijui kama am right ila swala la kulalamika unalichukulia pale ambapo women talk about their difficulties
Let me take an example(kwa TZ sio mzuri but just an example)
The LGBT community
These are people who are going through harrassment,violence,being denied on certain things that they deserve as human beings..nimeuchukulia huu mfano kukuonesha how social and cultural situations can evolve
je haya mambo wanayopigania hayamkuti binadamu mwingine wa kawaida?jibu ni ndiyo.
lakini kwa kiasi gani na je mazingira yanamsaidia vipi huyu mtu kutoka kwenye hivi vifungo?
zamani women used to go through the same things(not all) ila they got raped,walipigwa,walidhulumiwa etc na hakukua na sheria za kuwalinda plus the cultural aspects za jamii nyingi ziliendelea kumkandamiza
sijawahi kusikia kikundi cha wanawake wakisema tunataka wanaume wazae kama sisi..i have never

sasa tulipo sasa,kuna improvement kubwa sana and what they have been trying to gain ni ile equality when it comes to the how they survive socially and economically
ni kitu vivid kabisa kwamba there can never be an overall equality bali equality itakuwa relative
kwa mfano:maisha amabyo anapitia binti wa maskini na wa tajiri ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kuna certain elements ambazo they will both go through ambazo ni sawa(relatively
wataenda shule(hata kama ni tofauti),hawatakuwa raped,they will have the right to speak and do what they want(at their own levels) etc
na kwa kumsaidia huyu maskini na tajiri someday at their different levels wanaeza kuachieve goals zao(also relative)

swala la kusema matatizo wanapitia pia wanaume,hatukatai ila je mazingira yamembana kwa kiasi gani mwanamke?
chukulia mfano mwanamke anayefanya kazi(ceteris paribus)
she will take care of her family
she will study
she will work sometimes several jobs

haya yote kayakubali ila je mazingira yanamfanya vipi aweze kuendelea?
sexual harrassments at work
akipanda nafasi male workmates wataanza kusema katoa kitu hata kama wanafanya kazi moja
akipata mtoto thats 70% her second job
hospital kuna harassment
beaten by the husband
professor anamsumbua
akitoka kazini usiku she might get raped,robbed,etc
alikua molested akiwa binti(psychologically hayupo sawa)
mambo mengi stigma bado ipo
kusema wanaume hawapitii magumu ni uongo ila mazingira na jamii imembeba mwanaume zaidi kuliko mwanamke na hapa hatuongelei mambo ya mahusiano bali normal livelihood ya mwanadamu

sHERIA ZIPO
ila asilimia kubwa hazifuatwi na yes cause ni 70% in a way mwanaume kwani hivi vitu viko traced historically na mwisho wa siku ni wanaume ndo wako wengi kwenye pahali pa kumake decisions(thats the ugly truth0
do we have to fight men?no
movement inafight mentality na vile visabababishi

ahahaha sasa tukisema adui wa mwanmke ni mwanamke huoni pia in a bigger picture adui wa wote wawili ni mwanaume
maraisi wengi ni wa kiume,viongozi wengi ni wa kiume na wametufikisha hapa tulipo leo kama nchi ni matatizo tu
i dont take sides on hivi vitu

kama swala la kulalamika ni kule kuadhimisha siku ya wanawake then tunakosea kwani hata siku ya uhuru inaadhimishwa na kujua mlipotoka na mnakokwenda na kueka plans
nA WALIPOTOKA NI MBALI
kueleimishana na kukumbushana si vibaya e.g mimi binafsi nilijua kuumwa na tumbo wakati wa pm ni kawaida na mwanamke anatakiwa akubali kuumia but nimejua kuwa kuumwa sio sawa na inabidi uhawahi hospital kujua matatizo yako maana baadae unaweza ukakosa hata mtoto.
 
Haleluuyah!!!
Hhapo kwenye sala naongezea!!
Lishindwe pepo la janaume kuja nyumbani kwako ukalipia,ukalitengea na bado likachagua chakula haliji hata nusu kilo ya maharage.
Likitoka hapo linakujambiajambiajia.
Lishindwe pepo la kumkaribisha mwanaume ahamie room kwako halafu ajitie kucontorl nyumba na kipigo juu wakati hajui kodi sh na kitanda kanunua mwanaume mwenzie.
 
Back
Top Bottom