Siku ya Wanawake imeondoka na bibi yangu(RIP bibi yangu)

Siku ya Wanawake imeondoka na bibi yangu(RIP bibi yangu)

Poleni sana Mungu awafanyie wepesi
 
Leo watu wakisherehekea siku ya wanawake, napigiwa simu na mama yangu analia mama yake amefariki muda si mrefu, ntamkumbuka Kwa mambo mengi, vituko na wajukuu wake.

Alikuwa akisumbuliwa na uvimbe ndani ya kibofu cha mkojo, tulimpeleka hospitali lakini akakataa kufanyiwa upasuaji, pia presha ilipanda Kwa hiyo ikashindikana na kakataa kabisa akasema arudishwe nyumbani, ameugua kama mwaka hivi na ndipo leo kaaga dunia.

Nahisi sitaisahau hii siku ya leo na tarehe yake nitakumiss bibi yangu Mwanaloshinge upumzike Kwa amani nasi tupo njiani twaja siku yoyote.
RIP BIBI
Ooh yule bibi etu machachari,.aisee pole sana Dina.

RIP bibi[emoji20] [emoji20]
 
Kifo ni mwisho wa jeuri aiseeee!!! Kila nikiwaza kifo nahairisha Mipango yangu mingi ya kishetani... Baada ya yote nitamrudia Mungu wangu..... Aiseee hata ukizeeka kiasi gani utarudi tu, hata ukiishi kifalme hata ukiwa ni mama wa Rais, hata ukitokea mkoa gani....


Rest in peace Bibi.
 
Back
Top Bottom