Siku ya Wanawake imeondoka na bibi yangu(RIP bibi yangu)

Pole sana Dina.
Mungu amlaze pema peponi
 
We mwanamke umelitaja kiusahihi kabisa

nashangaa unalitaja kipwani !afu misiba ya bibi /babu kwa wasukuma huwa inanoga !wajukuu wanazuia asizikwe had wapewe ng'ombe !full kutania wenye mzaz !dah !yahitaj moyo pia
 
Sana tu kesho tunagawia vitenge na nguo na nyama
 
Back
Top Bottom