Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,850 Apr 1, 2014 #21 Daudi1 said: Kumbe furaha yako kuwadanganya wenzako? unajua kwamba uongo ni dhambi Click to expand... Ivi kumbe ni dhambi ee,ila nmefrahi leo
Daudi1 said: Kumbe furaha yako kuwadanganya wenzako? unajua kwamba uongo ni dhambi Click to expand... Ivi kumbe ni dhambi ee,ila nmefrahi leo
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Apr 1, 2014 #22 kiwatengu said: mkuu kuna movie moja inaitwa Wrong turn. yaani ni haya mambo ya utani utani yanateketeza mji mzima!! aise ni hatari asubuhi ya leo nimepigiwa simu na kudanganywa. imebidi na mimi nidanganye kwa kweli.. ngoma ikawa droo Click to expand... Mkuu nilishawahi kuisikia unayo hiyo movie nije nichukue.
kiwatengu said: mkuu kuna movie moja inaitwa Wrong turn. yaani ni haya mambo ya utani utani yanateketeza mji mzima!! aise ni hatari asubuhi ya leo nimepigiwa simu na kudanganywa. imebidi na mimi nidanganye kwa kweli.. ngoma ikawa droo Click to expand... Mkuu nilishawahi kuisikia unayo hiyo movie nije nichukue.