bwii JF-Expert Member May 24, 2014 1,429 2,668 Dec 25, 2016 #1 Mkianza kutuma picha za pilau na kuku naomba mtume tena picha za mifupa ya kuku mkimaliza kula
Namge JF-Expert Member Oct 9, 2016 1,435 1,931 Dec 25, 2016 #3 Una ugonvi na wazee wa kufoward... AkA wazee wa copy and paste
mjukuum JF-Expert Member Dec 8, 2014 5,258 2,841 Dec 25, 2016 #4 bwii said: Mkianza kutuma picha za pilau na kuku naomba mtume tena picha za mifupa ya kuku mkimaliza kula Click to expand... Pole huku tumevaa T-shirt za Ben hata sikukuu kama haipo
bwii said: Mkianza kutuma picha za pilau na kuku naomba mtume tena picha za mifupa ya kuku mkimaliza kula Click to expand... Pole huku tumevaa T-shirt za Ben hata sikukuu kama haipo