mwenzio kaamua kuwa muwazi we unampiga chini?
hapana, ajizuie kwanza tufahamiane, siku ya kwanza tu kama tulijuana miaka 500 ilopita, si kwamba hela ya bia ya kumnunulia sina, la hasha!
ulitaka tukutanie wapi ambako hakuna pombe? kanisani au msikitini? si kila kichaka unachokiona unataka kujisaidia.
mwanzo tu hivi, huko mbele itakuwaje?
tatizo la kukariri ndio hilo
lazima mwende wanapouza pombe ndio ujue umetoka
mbna sisi tusiokunywa tunapeleka candle light dinner wapenzi wetu na sehem ziko kibao
au unaishi wapi huko hadi restauraunt, wanauza pombe