Mr wenu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 1,088
- 1,666
- Thread starter
- #41
Ha haaa haaaa bahati nzuri msichana alinipenda mwenyewe!!
Akaniandikia barua akanipa wakati anaenda kisimani kuchota maji, nikakimbia mbio ndani kwenda kusoma!....lol
Sijui kwanini kuanzwa kama kule hakujawahi jirudia!
Aisee Patricia sitokusahau