Siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa

Siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa

Hayo ni mabox ya kuchezea kombolela Mkuu.
 
ahahaaa kipindi natongozwa ile ya ukweli kuna ule wimbo unaimba akicheka ana mwanya jamaa alikuwa anapenda sana kuniimbia .ila that guy was real man basi tu !
Ilitokea nini by then
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1979 mtoto wa kike kajaa kitaani kwetu kutoka Tanga namkumbuka kwa jina alikuwa anaitwa Penina duu! Alitaka kuchana suruali yangu upande wa paja tulikuwa tumekaa kilimani tunaongea weee mtoto ana aibu kama chui alikuwa anakata vijiti anakuwa kama anachora kwenye paja langu mara kama anaandika mara avitafune yaani nikikumbuka basi tu
 
Jasho lilinitoka, kutetemeka nikawa nazungusha mada binti akawa mjanja akanibana niseme nilichomuitia, Moyo ulikuwa unadunda nahisi angetokea mtu anishitue pale ningekufa kabisa,

Bahati nzuri alikubali sound zangu japo zilikuwa za kibwege
ebu ziweke hapa izo sound zako za kibwege tukucheke
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1979 mtoto wa kike kajaa kitaani kwetu kutoka Tanga namkumbuka kwa jina alikuwa anaitwa Penina duu! Alitaka kuchana suruali yangu upande wa paja tulikuwa tumekaa kilimani tunaongea weee mtoto ana aibu kama chui alikuwa anakata vijiti anakuwa kama anachora kwenye paja langu mara kama anaandika mara avitafune yaani nikikumbuka basi tu
basi mkuu ulikuwa unadinda kweli! kwenye izo shy moments za enzi izo
 
Nakumbuka siku ya kwanza nilimuita, ila kufika mdomo Haufungukia nikawa nazungumzia inshu nyingne kbsaaa, mara tukakuwa na mwlm mission ikafel mwalimu akaniambia nina tabia mbaya, asijue kumbe ndo kwanza naanza
 
Back
Top Bottom